ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Mvua za vuli zinazoendelea Lindi usiku huu Toka mchana sio ndogo radi zinarindima sijapata kuona.
Ule mngurumo wake na sauti yake MPAka nyumba unahisi inashake ..sasa najaribu ku imagine wakazi wa Gaza ambao sio member wa hamas jinsi wanavyokumbana na mabomu ya Israel
Eeh Mungu baba tusamehe watu wako na tuache ushabiki wa vita sio nzuri kwa pande zote..bora vita ya msituni inayohusisha wanajeshi ila sio mashambulizi ya angani yanatetemesha MPAka organs za ndani ya mwili ukuu wa Mungu unatisha wakuu tutubuni.