Mvua za rasha-rasha zimeanza kunyesha huko Tehran,Iran “Yajayo Yanafurahisha”

Mvua za rasha-rasha zimeanza kunyesha huko Tehran,Iran “Yajayo Yanafurahisha”

Unashabikia vita bidhaa zikipanda bei unalaumu Raisi
Hata usiposhabikia vita i.e. ukakaa kimya au ukashabikia mpirakama mbadala, bado bidhaa zitapanda bei. Rais ndiye Kiongozi mkuu wa Nchi hii; na wahenga walisema "Mkubwa ni jalala" Kulaumiwa kwa Rais sio kitu cha ajabu au jambo jipya. Pongezi ni zake lakini pia usisahau na lawama ni za kwake pia. Lazima apokee yote mawili - hana ujanja.
 
Sawa Zumaridi, ila mkipigwa msiende kulia kwa mume wenu Marekani mbwa nyie
OK. Na nyie Mkilambishwa "shubiri mwitu" kwa wembe msianze vilio na kale kamwimbo kenu ka siku zote ... "anaua akina mama na watoto".
 
OK. Na nyie Mkilambishwa "shubiri mwitu" kwa wembe msianze vilio na kale kamwimbo kenu ka siku zote ... "anaua akina mama na watoto".
Nyie makafir mnaua wanawake na watoto tena wamelala kwenye mahema, ndio maana mmeshindwa kuokoa mateka wenu kutoka kwa wanaume wa Hamas
 
Nyie makafir mnaua wanawake na watoto tena wamelala kwenye mahema, ndio maana mmeshindwa kuokoa mateka wenu kutoka kwa wanaume wa Hamas
Kwani umesikia kwamba Operesheni ya kuwateketeza magaidi wa Hamas imeisha?Subiri Kobaaz mtaimba sana hadi makoo yawakauke.
 
Quran 8:15

Enyi mlioamini mikikutana na walio kufuru vitani msiwageuzie mgongo.

*********
Juzi uliona clip kijana wa Hamas kasshika ATGM mpaka kifaru kikampanda juu ya yake yeye anapeleka moto tu. Hapo Gaza mtatembea miaka 10 Bado tunakaunt huu mwaka wa 3 unapigana na the most stable Faith in the world.

Echolima na magalatia wote humu hio aya ingekua haipo katka kitabu kitukufu ningewahi kupata shaka Kama Kuna siku tutashindwa, lakini mnajiita mabwana wa vita na maneno mengi ya kejeli na kujisifia mmepigana vita miaka na miaka bro this is ISLAM now! Keep dreaming muajemi hamtakaa mumuweze ili Hali wameshaamini
Hezbollah nao mlikuwa mnawaramba miguu kama hawa!! Lakini Sasa wako wapi?
 
Back
Top Bottom