Mvua za rasha-rasha zimeanza kunyesha huko Tehran,Iran “Yajayo Yanafurahisha”

Unashabikia vita bidhaa zikipanda bei unalaumu Raisi
Hata usiposhabikia vita i.e. ukakaa kimya au ukashabikia mpirakama mbadala, bado bidhaa zitapanda bei. Rais ndiye Kiongozi mkuu wa Nchi hii; na wahenga walisema "Mkubwa ni jalala" Kulaumiwa kwa Rais sio kitu cha ajabu au jambo jipya. Pongezi ni zake lakini pia usisahau na lawama ni za kwake pia. Lazima apokee yote mawili - hana ujanja.
 
Sawa Zumaridi, ila mkipigwa msiende kulia kwa mume wenu Marekani mbwa nyie
OK. Na nyie Mkilambishwa "shubiri mwitu" kwa wembe msianze vilio na kale kamwimbo kenu ka siku zote ... "anaua akina mama na watoto".
 
OK. Na nyie Mkilambishwa "shubiri mwitu" kwa wembe msianze vilio na kale kamwimbo kenu ka siku zote ... "anaua akina mama na watoto".
Nyie makafir mnaua wanawake na watoto tena wamelala kwenye mahema, ndio maana mmeshindwa kuokoa mateka wenu kutoka kwa wanaume wa Hamas
 
Nyie makafir mnaua wanawake na watoto tena wamelala kwenye mahema, ndio maana mmeshindwa kuokoa mateka wenu kutoka kwa wanaume wa Hamas
Kwani umesikia kwamba Operesheni ya kuwateketeza magaidi wa Hamas imeisha?Subiri Kobaaz mtaimba sana hadi makoo yawakauke.
 
Hezbollah nao mlikuwa mnawaramba miguu kama hawa!! Lakini Sasa wako wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…