Mvua za vuli zimeanza wadau wa mapenzi tuendelee kuyaanda Maghetto yetu.

Mvua za vuli zimeanza wadau wa mapenzi tuendelee kuyaanda Maghetto yetu.

Wenzio wanaandaa mashamba kilimo Cha bamia,mwezi wa kumi wanaingiza pesa wewe unawaza gettho Kwa Nini msiuziwe Bandari
Wakifanya hivi zile kelele za Serikali imzuie mkulima kuuza mazao nje, unga ni bei ghali sana zitakuwa za chini mno.
 
Wakifanya hivi zile kelele za Serikali imzuie mkulima kuuza mazao nje, unga ni bei ghali sana zitakuwa za chini mno.
Na hapa tu jana zilivyopanda tu bei za mafuta ,sokoni nafaka nazo bei zimeshoot ghafla wanasema usafirishaji bei imepanda,,,sasa Kwa Nini vijana badala ya kuandaa magetho waandae mashamba Ili tuweze kukidhi upatikanaji wa chakula kikanda...mheshimiwa speaker nawasilisha
 
Vijana wetu wanawaza kuhudumia maungo yao single mothers waongezeke. Elimu, Elimu, Elimu inahitajika.
 
Kwa Dizaini hii Bora tu Bandari iuzwe mazima ikiwezekana na Rasilimali zote za Tanganyika kila mmoja apewe mpunga wake ajikatae anakojua..! Kama Taifa ndio Lina vijana wa hovyo hivi...!?
 
Gettho alikuwa nalo Mangwair bwana,linanukia maunyunyu sio wewe mpaka mvua za vuli zianze ndio uanze maandalizi😁😁😁 si Bora uandae mashamba tu
🤣🤣🤣 Mashamba si ndio mbususu zenyewe 😆😆😆
 
Utakuwa na matatizo,,yan ww wakati wako wa hayo mambo ni wakati wa mvua tu wakati wa kiangazi amna, basi huu ni wakati wako sisi huwa ni nyakati zote hali huaa ni shwalii
 
Kwikwikwi [emoji16] [emoji28] nimecheka, gheto la mase .
 
Back
Top Bottom