kichoroba89
Senior Member
- Oct 3, 2019
- 197
- 57
Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha hapa nchini bei za mahindi na unga wa mahindi kupanda sana, zawa kati ya Tshs 1600-1800. Wafanyabiashara wamesema malori hukwama sana nakusababisha kutumia njia mbadala kufikisha mazao mkoa wa Dar Es Salaam
Hali hii inasababishwa zaidi na wingi wa mvua, japo wakulima wanapata faraja na matumaini ya kupata mavuno mengi, hivyo kutupa matumaini kwamba hapo baada kidogo bei zitashuka kwa kasi.
Lakini tukija katika siasa utakuta vingozi wanaliongelea kinyume suala la kupanda kwa bei kwamba, ni uhaba wa chakula, lakini wafanya biashara wao wanakiri kuwa,ni kutokana na mvua kunyesha sana hivyo kusababisha usafiri kuwa mgumu sana
Bei kupanda Sababu ni mvua kuwa nyingi