Hahaaaaa, si ujinyonge tu mkuu.Naomba Mungu mvua isinyeshe miaka kumi mfulululizo wote tufe na kuangamia na njaa. Hatuna msaada wowote. Tunakula tu nakunya tukisubiria kufa. Tufe tu wote kwa njaa.
Utakufa peke yako kwa siku yako kama ulivyozaliwa peke yakoNaomba Mungu mvua isinyeshe miaka kumi mfulululizo wote tufe na kuangamia na njaa. Hatuna msaada wowote. Tunakula tu nakunya tukisubiria kufa. Tufe tu wote kwa njaa.
Magufuli hakukata miti million 3?Kuanzia Bashe amekuwa Waziri wa Kilimo msimamo wake ilikuwa ni kutofunga mipaka ili wakulima wapate bei nzuri ya mazao yao. Humu JF kuliandikwa nyuzi nyingi za kulaani kutofunga mipaka na kutabiri njaa kutokea Tanzania.
Kati ya Machi na Mei mikoa mingi sana wamevuna na bei zimeshuka chini. Na sasa tunapata mvua za kutosha kuanzia Mei hadi mwisho wa June 2023.
Wako wapi wale waliokuwa wanatoa macho kumuambia Bashe afunge mipaka ili chakula kisitoke?
Kuanzia Bashe amekuwa Waziri wa Kilimo msimamo wake ilikuwa ni kutofunga mipaka ili wakulima wapate bei nzuri ya mazao yao. Humu JF kuliandikwa nyuzi nyingi za kulaani kutofunga mipaka na kutabiri njaa kutokea Tanzania.

Hii itakuwa ya Malawi tena mbichi iliyolimwa kwa mbolea ya nguruwe.Naomba Mungu mvua isinyeshe miaka kumi mfulululizo wote tufe na kuangamia na njaa. Hatuna msaada wowote. Tunakula tu nakunya tukisubiria kufa. Tufe tu wote kwa njaa.
Unakuta mtu yupo Buguruni anapita dukani anakwambia bei za vyakula zimepanda nchi nzima asijue kwamba anaongelea Buguruni na bei za vyakula mikoani zipo vilevile. Kilichokuwa kimepanda ni bei za mafuta tuKuanzia Bashe amekuwa Waziri wa Kilimo msimamo wake ilikuwa ni kutofunga mipaka ili wakulima wapate bei nzuri ya mazao yao. Humu JF kuliandikwa nyuzi nyingi za kulaani kutofunga mipaka na kutabiri njaa kutokea Tanzania.
Kati ya Machi na Mei mikoa mingi sana wamevuna na bei zimeshuka chini. Na sasa tunapata mvua za kutosha kuanzia Mei hadi mwisho wa June 2023.
Wako wapi wale waliokuwa wanatoa macho kumuambia Bashe afunge mipaka ili chakula kisitoke?
Jamaa kiazi kweli.Tatizo uelewa wako mdogo kufikiri hizi mvua zina impact kwa sasa
Kuanzia Bashe amekuwa Waziri wa Kilimo msimamo wake ilikuwa ni kutofunga mipaka ili wakulima wapate bei nzuri ya mazao yao. Humu JF kuliandikwa nyuzi nyingi za kulaani kutofunga mipaka na kutabiri njaa kutokea Tanzania.
Kati ya Machi na Mei mikoa mingi sana wamevuna na bei zimeshuka chini. Na sasa tunapata mvua za kutosha kuanzia Mei hadi mwisho wa June 2023.
Wako wapi wale waliokuwa wanatoa macho kumuambia Bashe afunge mipaka ili chakula kisitoke?
Nyumbu walishasahau tayariTuliambiwa kuwa mvua hazinyeshi kwa sababu Magufuli alikata miti milioni 3! Imekuwaje tena mvua zinanyesha!
Mkiwa waongo ni vizuri msiwe wasahaulifu!
Wapuuzi sanaTuliambiwa kuwa mvua hazinyeshi kwa sababu Magufuli alikata miti milioni 3! Imekuwaje tena mvua zinanyesha!
Mkiwa waongo ni vizuri msiwe wasahaulifu!
Mpumbavu huyo mwanafunzi wa BBT. Semina ya miezi miwili tu kajifanya ni profesa wa KilimoMkuu hujui jinsi gani mvua zinaharibu mazao yaliyokaribia kuvunwaaa, ni hasara
Alikata miti zaidi ya Milioni 4. Halafu kumbuka kilawaida June siyo mwezi wa mvua. Mvua za vuli hunyesha katika miezi ya Oktoba, Novemba na Desemba na mvua za masika hunyesha katika miezi ya Machi, Aprili na Mei.Magufuli hakukata miti million 3?
Hazina impact kwa nyie mnaoishi mijini kufanya kazi za kuuza ice cream, kusuka nywele wadada, kuuza viatu vya mtumba barabarani nkTatizo uelewa wako mdogo kufikiri hizi mvua zina impact kwa sasa
Wewe umelima wapi? Au umekariri tu kuandika negativity? Watanzania hamjutambuiMkuu hujui jinsi gani mvua zinaharibu mazao yaliyokaribia kuvunwaaa, ni hasara
Acha upotoshaji wa kijinga, kukatwa kwa miti wote tunaelewa kunaleta mabadiliko ya tabia nchi. Na mabadiliko ya tabia nchi sio lazima mvua isinyeshe tu, bali inaweza kunyesha kupita kiasi, awa ikanyyesha bila kufuata ratiba halisi, vimbunga nk. Labda useme wale wanaotoa elimu ya kuwa kukata miti kunasababisha ukame na mabadiliko ya tabia nchi ni waongo. Tukikubaliana kwenye hilo uje uendelee na huo utetezi wako wa Magufuli kukata hiyo miti.Tuliambiwa kuwa mvua hazinyeshi kwa sababu Magufuli alikata miti milioni 3! Imekuwaje tena mvua zinanyesha!
Mkiwa waongo ni vizuri msiwe wasahaulifu!