Mvua zitaanza kunyesha Kuanzia tarehe 18 Mpaka 26 Mwezi huu ingawaje hazitakuwa nyingi

Serikali iweke sheria kuwa Maeneo ya kutotelea Huduma za umma yote bila kujali ni ya kiserikali au kibinafsi au mashirika yawe na idadi Fulani ya miti kadiri Wataalamu WA Mazingira watakavyoshauri

Kuna hospital moja kaja sijui kiongozi gani kaamuru miti yote ikatwe usiku usiku ukajengwa uzio wa tofali ilihali ile miti ilikua mbali na ilikua inaleta mandhari murua kabisa watu wanajipumzisha-Madale flamingo
 
Utabiri wa hali ya hewa kwa Tanzania nzima kila siku ni, HALI YA MAWINGU KIASI, MVUA NYEPESI KATIKA MAENEO MACHACHE NA VIPINDI VYA JUA.
 
Huo utabiri wako hauhusiki na Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini wala Kigoma na Katavi na Morogoro Kusini..

Hakuna siku mvua itakuja kushindwa kunyesha hiyo Mikoa wewe elewa hivyo na napoandika haya tulishapanda kitambo sana maana mvua ilianza mwisho wa mwezi wa 10.
 

Utabiri huu ni Kwa mikoa iliyochelewa kupata mvua hasa Dar es salaam
 

Kweli Kabisa
 
Hizi ndio Mvua za mwishomwisho.
Kuanzia Tarehe 23january2023 Hali ya joto Kali itarejea na Mvua zitakuwa zimesimama mpaka Mwezi march
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…