Mvulana amnyonya chuchu msichana kanisani..

Joselela

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
6,109
Reaction score
8,080
Nilikuwa kanisani, kuna mvulana na msichana walikaa jirani na mimi.Nikapigwa na butwaa kuona msichana anavuta blauzi yake na baadae sidiria na mvulana kuanza kunyonya chuchu utadhani hakuna watu waliokuwa wanawatazama,msichana alikuwa na miaka 28 na mvulana miezi 3.

Ahsante kwa kusoma, (Mungu akusamehe kwa mawazo yako machafu)

Nipo nyumbani,njoo unipige!!

___________________________________

Mbakaji aliingia katika nyumba fulani, akamkamata na kumfunga kamba mke na mume, kisha aka mbusu sikioni mke wa yule jamaa na akaelekea bafuni.. Jama alipoenda bafuni mwanaume akamwambia mkewe“mkubali tu la siivyo atatuua wote.. Kuwa mvumilivu mpenzi I love you”.

Mwanamke akamwambia mumewe, “aja ni busu. Alikuwa ananinong'oneza kwamba yeye ni shoga,anahitaji Vaseline. Kwahiyo nimemwambia aende bafuni ataikuta. Kuwa mvumilivu mpenzi.. I love you too!!

Update
I caught you!
 
Hatari
 
Hasara
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaaah hakuna siku niliyoumiza mbavu kama hiii
 
Nilikuwa kanisani, kuna mvulana na msichana walikaa jirani na mimi.Nikapigwa na butwaa kuona msichana anavuta blauzi yake na baadae sidiria na mvulana kuanza kunyonya chuchu utadhani hakuna watu waliokuwa wanawatazama,msichana alikuwa na miaka 28 na mvulana miezi 3.

Ahsante kwa kusoma, (Mungu akusamehe kwa mawazo yako machafu)

Nipo nyumbani,njoo unipige!!

___________________________________

Mbakaji aliingia katika nyumba fulani, akamkamata na kumfunga kamba mke na mume, kisha aka mbusu sikioni mke wa yule jamaa na akaelekea bafuni.. Jama alipoenda bafuni mwanaume akamwambia mkewe“mkubali tu la siivyo atatuua wote.. Kuwa mvumilivu mpenzi I love you”.

Mwanamke akamwambia mumewe, “aja ni busu. Alikuwa ananinong'oneza kwamba yeye ni shoga,anahitaji Vaseline. Kwahiyo nimemwambia aende bafuni ataikuta. Kuwa mvumilivu mpenzi.. I love you too!!
Ivi ubuyu wa shilawadu unauzwa wapi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Nilikuwa kanisani, kuna mvulana na msichana walikaa jirani na mimi.Nikapigwa na butwaa kuona msichana anavuta blauzi yake na baadae sidiria na mvulana kuanza kunyonya chuchu utadhani hakuna watu waliokuwa wanawatazama,msichana alikuwa na miaka 28 na mvulana miezi 3.

Ahsante kwa kusoma, (Mungu akusamehe kwa mawazo yako machafu)

Nipo nyumbani,njoo unipige!!

___________________________________

Mbakaji aliingia katika nyumba fulani, akamkamata na kumfunga kamba mke na mume, kisha aka mbusu sikioni mke wa yule jamaa na akaelekea bafuni.. Jama alipoenda bafuni mwanaume akamwambia mkewe“mkubali tu la siivyo atatuua wote.. Kuwa mvumilivu mpenzi I love you”.

Mwanamke akamwambia mumewe, “aja ni busu. Alikuwa ananinong'oneza kwamba yeye ni shoga,anahitaji Vaseline. Kwahiyo nimemwambia aende bafuni ataikuta. Kuwa mvumilivu mpenzi.. I love you too!!

Masikini Tayari na wewe Duuuuuuuuu!!! haya maisha ya Magufuli tutawapoteza sana!!
 
Back
Top Bottom