😳😳😳😳 Kumbe!Mkeka Mkubwa huyo aliweka timu nyingi sana kama kumi na tano kwenda mbele halafu akawa ameweka pesa ndogo mno
ungemuuliza vizuri pesa aliyoweka kama sio 500/= basi hahizidi buku mbili ila kaingiza hiyo M1.85
Ndio maana kachanganyikiwa huyo dogo
Nadhani na utoto ulichangia, pia na hamaki yakupata hela nyingi.Unabet unapata 1,850,00/= Kwa furaha unaingia barabarani unagalagala unagongwa na gari halafu unakufa......
Heee! hongera7,000,000
Chezea Jero kuingiza 1,850,000/= bila kwanini asidate 😀😀😀😳😳😳😳 Kumbe!
hahahah, halafu kwa umri ule nadhani hajawahi kushika kiasi kikubwa cha fedha. Ni mvulana mdogo bado hajawa mwanammeChezea Jero kuingiza 1,850,000/= bila kwanini asidate 😀😀😀
Kawaida mkuu kwangu,chuoni sipati mkopo hii kitu inaniweka mjiniHeee! hongera
Pole, jaribu tena na tenaDaah.
Isinikumbushe weekend hii mkeka wangu man you aliuchana mil 20.
Madrid nilimkataa, nikamkataa chelsea.
Nikamkataa roma.
Alaaniwe yule refa w gemu ya man you Na Chelsea
Sasa si ungeacha kuendelea ku bet kwa kuwa tayari ulishafanikiwa?Kawaida mkuu kwangu,chuoni sipati mkopo hii kitu inaniweka mjini
Mtaalamu wa kubet Kichwa Kichafu anasema yawezekana alibet kwa Tshs.500/= tuKwa hyo kajionea nguvu ya buku.
iv kuna pesa inaitwa ndevu??Kuna watu wapo inabidi tu waendelee kuwa na maisha ya umasikini ili waishi kwa amani na utulivu.
Huyo jamaa akipata pesa ndevu si atazikwa?
Mtaalamu wa kubet Kichwa Kichafu anasema yawezekana alibet kwa Tshs.500/= tu
Dah ntaacha nikioa kwa sasa bado.Sasa si ungeacha kuendelea ku bet kwa kuwa tayari ulishafanikiwa?
Wacha weeee!!!!nilimpiga muhindi 1.4ml.hata zilipopotea sikuziona.ndo maana mungu kakataza kamari.
Wacha weeee!!!!
Ni typing error mkuu alimaanisha ndefuiv kuna pesa inaitwa ndevu??
Kwani kupata mil 1.8 lazima uweke timu nyingi?Mkeka Mkubwa huyo aliweka timu nyingi sana kama kumi na tano kwenda mbele halafu akawa ameweka pesa ndogo mno
ungemuuliza vizuri pesa aliyoweka kama sio 500/= basi hahizidi buku mbili ila kaingiza hiyo M1.85
Ndio maana kachanganyikiwa huyo dogo