Mvunja Taya

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Je unafahamu mtu aliyejulikana kama mvunja taya? Kama unamfahamu, hebu elezea alikuwa mtu wa namna gani, kama humfahamu, basi tembelea uzi huu tena siku zijazo.

Nilianzisha hii thread jana, halafu modereta akaifuta, ni wazi kuwa huenda na yeye hamjui mvuja taya; kwa hiyo ni afadhali asiifute tena kusudi aweze kujifunza zaidi.
 
Ken Norton...!

Unamjua..?
Uko sahihi kabisa lakini wengi wakiskia jina la Mvunja taya hawalijui kabisa. Siku chache zijazo nitatoa taarifa za kina kuhuru gwiji huyu ambazo hazijulikani kwa wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…