Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Je unafahamu mtu aliyejulikana kama mvunja taya? Kama unamfahamu, hebu elezea alikuwa mtu wa namna gani, kama humfahamu, basi tembelea uzi huu tena siku zijazo.
Nilianzisha hii thread jana, halafu modereta akaifuta, ni wazi kuwa huenda na yeye hamjui mvuja taya; kwa hiyo ni afadhali asiifute tena kusudi aweze kujifunza zaidi.