Mvuta Bangi!

Mvuta Bangi!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
AMvuta Bangi karejea nyumbani kwake Usiku, akamkuta mke wake kalala na Chupi yenye Ki-mkanda tu kwa nyuma (Bikini), jamaa akaanza kucheka mpaka mke wake akaamka na akamuuliza, unacheka nini? Jamaa akamjibu, ni mara yangu ya kwanza kuona ****** yamevaa Kandambili!
 
Wahahaha haaa hahaaa lolz!
 
Bangi tena,bangi noma yaani jamaa yangu alishawahi kutoka na mshumaa mchana eti anaenda chooni alivoshtuaga.
Mchizi mwingine nilimuona anatembea mara anainama nyuma mara mbele nikamuuliza vipi,eti ananiambia "nakwepa mawingu yasinigonge kichwa.achana nabangi wewe.
 
Ahahahahah mwingine kavuta bangi, baada ya muda kamuona mjusi akapiga kelele kuomba msaada eti mamba anamtisha...
 
Let us celebrate the occasion with wine and sweet words, and not bangi.
 
Jamaa mwingine alivuta akiwa anrudi nyumbani yeye anaona barabara nzima ina madimbwi madimbwi,kwa hiyo akawa anayaruka tu madimbwi njia nzima.Bangi noommaaa
 
Mvuta Bangi bwana akaomba pikipiki ya rafiki yake, ilikuwa majira ya usiku akaamua aelekee maeneo yanayoitwa Soweto huko Moshi kupitia barabara ya kwenda Arusha. Mbele kulikuwa na gari linakuja; Bangi za jamaa zikamponza, yeye baada ya kuona taa mbili za lile gari akafikiri ni pikipiki mbili zinakuja mbele yake, hivyo akaona apite katikati ya zile pikipiki, matokeo yake yakawa kifo. Bangi bwana sio nzuri!!!
 
Bangi babaaaaa!!!!!!!!! Haaaaaaaaaah hii kali, wavuta bangi mpo?
 
Ebwana Eeeeee, Bangi nibangue Kasumba nisumbue. Hapo naona maada imenoga.
 
hiyo mibangi mnayoo vuta ni stimu za kulanduka kama siyoo fani yako kwa kweli utaumbukaaa....isome kama unaimba
 
Duh itabidi nijaribu vuta nione raha yake

Karibu kwetu mama,huku wala polisi hawakusumbui na hata kama huna kiberiti cha kuwashia na polisi anapita,unamuomba kiberiti anakuwashia bangi yako anaendelea na safari yake.
 
Back
Top Bottom