Si tulikubaliana akipata muhaho anampigia zizou?
mmm wewe, huyu jamaa alikuwa kocha madrid??!!!?? au sio real madrid hii ninayoijuaUyu kocha ana vurugu, anamihemko Sana Kama Marefa wasingekua wa mchongo ni ngumu kumaliza mechi bila Yellow card au red card. Najiuliza Madrid waliwezaje kuishi na kocha wa aina hii!!
Madrid ipi? Acheni kulishwa uongo wa kina Barbara na Magoli.Uyu kocha ana vurugu, anamihemko Sana Kama Marefa wasingekua wa mchongo ni ngumu kumaliza mechi bila Yellow card au red card. Najiuliza Madrid waliwezaje kuishi na kocha wa aina hii!!
Madrid ya Laligammm wewe, huyu jamaa alikuwa kocha madrid??!!!?? au sio real madrid hii ninayoijua
Saivi kazi ya Matola in kumlinda coach wake asilianzishe seasonMara baada ya kumaliza mchezo kati ya Simba v/s Mbeya City, wachambuzi wa Azam Media walubainisha hii nukta, pamoja na mambo mengine ya kitaalamu lkn hili walilibainisha...
Bongo hata ukiwa na consecutive win ya game 20+ siku ukifungwa ndio utajua [emoji23]Ata klop huwa ana mizuka pale Liverpool na ata meno anaweza ngata. Mbona hatujawai sikia hizi siasa.
Tatizo timu hizi mbili simba na yanga zenyewe zinaamini zinatakiwa kushinda milele. Haiwezekani iko kitu
hakya nani!!! halafu anapigwa na mbeya city/!? huko swekeni mbeya?!? hamna baana umemfananisha sio yeyeMadrid ya Laliga
Madrid mlimuona kweli au alisema mwenyewe🤣🤣🤣Uyu kocha ana vurugu, anamihemko Sana Kama Marefa wasingekua wa mchongo ni ngumu kumaliza mechi bila Yellow card au red card. Najiuliza Madrid waliwezaje kuishi na kocha wa aina hii!!
Uliwahi kumuona Klop anapiga teke viti?Ata klop huwa ana mizuka pale Liverpool na ata meno anaweza ngata. Mbona hatujawai sikia hizi siasa.
Tatizo timu hizi mbili simba na yanga zenyewe zinaamini zinatakiwa kushinda milele. Haiwezekani iko kitu