Mvutano benchi la ufundi Simba: Je, wachambuzi wako sahihi?

Mvutano benchi la ufundi Simba: Je, wachambuzi wako sahihi?

Madrid ipi? Acheni kulishwa uongo wa kina Barbara na Magoli.

Screenshot_20220117-200205_Twitter.jpg
 
Uyu kocha ana vurugu, anamihemko Sana Kama Marefa wasingekua wa mchongo ni ngumu kumaliza mechi bila Yellow card au red card. Najiuliza Madrid waliwezaje kuishi na kocha wa aina hii!!
Madrid alikuwa mpishi
 
Yani sasa hivi jukumu la Matola limekuwa ni kumtuliza pablo.
 
Back
Top Bottom