Mvutano benchi la ufundi Simba: Je, wachambuzi wako sahihi?

Uyu kocha ana vurugu, anamihemko Sana Kama Marefa wasingekua wa mchongo ni ngumu kumaliza mechi bila Yellow card au red card. Najiuliza Madrid waliwezaje kuishi na kocha wa aina hii!!
Madrid alikuwa mpishi
 
Yani sasa hivi jukumu la Matola limekuwa ni kumtuliza pablo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…