Pre GE2025 Mvutano CCM Rufiji: Viongozi wadai kusimamishwa kwa kutomuunga mkono Mbunge Mchengerwa

Pre GE2025 Mvutano CCM Rufiji: Viongozi wadai kusimamishwa kwa kutomuunga mkono Mbunge Mchengerwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uongo mtupu....

Mahakama kwanini haikumfungulia mashtaka ?!!

Yaani jinai ife kisa mtu mtumishi kaacha kazi ?!!!

Wakili hebu kuwa serious kidogo.....
Sasa kama alienda kuwa mbunge wa CCM unaweza kumshtaki hapo?

Hii nchi CCM si mmeiweka mifumo yote mfukoni?
 
Sasa kama alienda kuwa mbunge wa CCM unaweza kumshtaki hapo?

Hii nchi CCM si mmeiweka mifumo yote mfukoni?
Umetuhumu faili lake chafu kuwa mikononi mwa mahakama kwa muda mrefu....ubunge alikuja kugombea baadaye.....muda wote huo wa faili chafu kuwepo ni kwanini hazikuchukuliwa hatua za kisheria dhidi yake ?!!

Kama walishindwa kuzichukua basi ni ama tuhuma hizo zilikuwa za "kukaangwa" au nao wahusika....kwa sababu hizo tuhuma hizo HAZINA MASHIKO.....

Wakili umeamua kuwachafua wengine ?!!

Aaagh wakili wewe ni msomi bwanaa.....
 
Acheni kumchafua Mheshimiwa Waziri Mohammedi mchengerwa. Ambaye kila mtanzania anafahamu vyema uchapakazi wake na uzalendo wake kwa Taifa letu

Sifa yake kubwa ya ni kuwa mkwe wa Samia, lakini siyo kwenye utendaji. Kiutendaji ni hovyo sana. Aliharibu uchaguzi kwa kiwango cha ajabu. Akiwa mali ya asili na utalii, nako alifanya uchafu mwingi wa kujinufaisha.
 
Back
Top Bottom