Umetuhumu faili lake chafu kuwa mikononi mwa mahakama kwa muda mrefu....ubunge alikuja kugombea baadaye.....muda wote huo wa faili chafu kuwepo ni kwanini hazikuchukuliwa hatua za kisheria dhidi yake ?!!
Kama walishindwa kuzichukua basi ni ama tuhuma hizo zilikuwa za "kukaangwa" au nao wahusika....kwa sababu hizo tuhuma hizo HAZINA MASHIKO.....
Sifa yake kubwa ya ni kuwa mkwe wa Samia, lakini siyo kwenye utendaji. Kiutendaji ni hovyo sana. Aliharibu uchaguzi kwa kiwango cha ajabu. Akiwa mali ya asili na utalii, nako alifanya uchafu mwingi wa kujinufaisha.