Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Mtoto wa tajiri vs. hustler001. Mmh!
Yes. Wanaongea kuhusu Gideon Moi.Huyo ni mtoto wa Raisi mstaafu Moi? (sijaingalia hiyo clip)
Yes. Gideon Moi.
Ok, hivi huyo na babake wana mkwanja kuliko Uhuru Kenya?
CCM dynasty yani one party rule.Kinachowasumbua Kenya ni family dynasty
China one party rule, lakini ndiko mnakoenda kukopa na kuomba chakula cha msaada.CCM dynasty yani one party rule.
Huelewi kitu ,tofautisha party dynasty na family dynasty , Ccm kila mtu anaweza kuwa rais ila Kenya lazima atoke Kenyatta ,moi ,kibaki familyCCM dynasty yani one party rule.