Mvutano kati ya Senetor Moi na Naibu Rais Ruto

Mvutano kati ya Senetor Moi na Naibu Rais Ruto

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,147
Reaction score
14,699
Huu mvutano wa Gideon Moi na William Ruto nini mwisho wake? Je, ndiyo mwisho wa Ruto au ndiyo ili dhahabu ipate thamani ni lazima ipitishwe kwanza kwenye moto?...

 
Ok, hivi huyo na babake wana mkwanja kuliko Uhuru Kenya?

Gideon angepigania nafasi ya Ugavana, aachane na nafasi zinazomzidi kimo! else he will drop like a hot potato! yaani atakosa kila kitu akasimamie chuo cha Kabarak!
 
CCM dynasty yani one party rule.
Huelewi kitu ,tofautisha party dynasty na family dynasty , Ccm kila mtu anaweza kuwa rais ila Kenya lazima atoke Kenyatta ,moi ,kibaki family

Ruto , muuza mayai wa kitambo ,vijana wanamkubali sababu ni hustler mwenzao ila kwa kuwa Akili zenu finyu mtampiga chini
 
Back
Top Bottom