Mvutano wa Mbowe na Lissu unaonesha uchanga wa vyama pinzani Tanzania!

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutudhihirishia yale ambayo wazalendo wa nchi hii tuliyotabiri na kuyaamini.

Upinzani wa nchi hii bado ni mchanga na CCM inatakiwa kuendelea kuulea hadi ukue.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Tusubiri Mkutano wa CCM utupe uelekeo wa Taifa
 
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutudhihirishia yale ambayo wazalendo wa nchi hii tuliyotabiri na kuyaamini.

Upinzani wa nchi hii bado ni mchanga na CCM inatakiwa kuendelea kuulea hadi ukue.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
CCM OYEEE. VITA VYA PANZI.......... .......
 
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutudhihirishia yale ambayo wazalendo wa nchi hii tuliyotabiri na kuyaamini.

Upinzani wa nchi hii bado ni mchanga na CCM inatakiwa kuendelea kuulea hadi ukue.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Unadhani CCM kuna ukomavu? Mnakaa kimya kulinda teuzi zenu! kulinda matumbo yenu....thubutu kusema samia hafai ukione cha moto juu ya kula yako/tumbo lako/kama watoto wataenda chooni
 
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutudhihirishia yale ambayo wazalendo wa nchi hii tuliyotabiri na kuyaamini.

Upinzani wa nchi hii bado ni mchanga na CCM inatakiwa kuendelea kuulea hadi ukue.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Huo ndio ukomavu sasa.. Ccm msingeweza kabisa
 
Back
Top Bottom