Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Mvuti yenyewe iko wapi au uelekeo gani?Wakazi wa mvuti wamejikausha kama sio wenyewe....
Manispaa ya Ilala, iko ndani ndani huko kupita ChanikaMvuti yenyewe iko wapi au uelekeo gani?
Kichukue ni pazuri ardhi ina rutuba asili ya kutoshaNaomba watu wamvuti mnipe uzoefu pakoje, je pamejengeka kama chanika?
Je bado ni mashambani, je kiwanja naweza kukitumiaje kibiashara kabla ya kujenga?
Ukijenga nyumba ya kupangisha inalipa ?
Nimepata uwanja bado sijaenda kuuona. Alienda ndugu yangu kukabidhiwa. Bado naons kama mbali ukilinganisha na chanika.
Kiwanja nimefidiwa hivyo ni ngumu kukikataa.
Mkuu naweza kupanda nini by Disemba kilimo cha mvua.Kichukue ni pazuri ardhi ina rutuba asili ya kutosha
Je naweza panda migomba ikastawi?Kichukue ni pazuri ardhi ina rutuba asili ya kutosha
Je watu wameanza kujenga au bado ni mapori/ mashambaKichukue ni pazuri ardhi ina rutuba asili ya kutosha
Miaka 11 iliyopita niogopa kuchukuwa kiwanja kuanzia maeneo ya Pugu Kinywezi hadi Chanika kwa sababu ya mapori na hakikua na nguzo ya umeme. Nilishia kuchukuwa eneo Pugu KajiungeniNaomba watu wamvuti mnipe uzoefu pakoje, je pamejengeka kama chanika?
Je bado ni mashambani, je kiwanja naweza kukitumiaje kibiashara kabla ya kujenga?
Ukijenga nyumba ya kupangisha inalipa ?
Nimepata uwanja bado sijaenda kuuona. Alienda ndugu yangu kukabidhiwa. Bado naons kama mbali ukilinganisha na chanika.
Kiwanja nimefidiwa hivyo ni ngumu kukikataa.
Niliambiwa kwamba watu wa Mvuti sio watu wa maendeleo na sababu niliyopewa ni kwamba umeme ulifika Mvuti kabla ya Chanika ila cha ajabu ni kwamba Chanika pamechangamka zaidi ya MvutiNaomba watu wamvuti mnipe uzoefu pakoje, je pamejengeka kama chanika?
Je bado ni mashambani, je kiwanja naweza kukitumiaje kibiashara kabla ya kujenga?
Ukijenga nyumba ya kupangisha inalipa ?
Nimepata uwanja bado sijaenda kuuona. Alienda ndugu yangu kukabidhiwa. Bado naons kama mbali ukilinganisha na chanika.
Kiwanja nimefidiwa hivyo ni ngumu kukikataa.
Mahindi, maharage mbaazi mihogoMkuu naweza kupanda nini by disemba kilimo cha mvua.
Kumejengwa definitely... Mimi nilikuwa huko before last yearJe watu wameanza kujenga au bado ni mapori/ mashamba
Siyo ukweli, Chanika imwpata umeme kabla ya Mvuti, barabara ya Chanika - Mvuti - Mbagara nimeipita Sana naenda kanisani. Nguzo za kupeleka umeme Mvuti zilitandazwa kutokea Chanika.Niliambiwa kwamba watu wa mvuti sio watu wa maendeleo na sababu niliyopewa ni kwamba umeme ulifika Mvuti kabla ya Chanika ila cha ajabu ni kwamba Chanika pamechangamka zaidi ya Mvuti
Wewe uko wapi kwa sasa, ningeshauri ukaende upaone mwenyewe physically. Kwanza Sasa hivi hata kupata.kiwanja ni shida!Niliambiwa kwamba watu wa mvuti sio watu wa maendeleo na sababu niliyopewa ni kwamba umeme ulifika Mvuti kabla ya Chanika ila cha ajabu ni kwamba Chanika pamechangamka zaidi ya Mvuti
Yawezekana ikawa hivo kwenye umeme ila hapakunishawishi hata kidogo....... Nimepita mara ya mwisho mwez wa 6 , mwez wa 4 nilishuka kupaangalia kulivo.Siyo ukweli, Chanika imwpata umeme kabla ya Mvuti, barabara ya Chanika - Mvuti - Mbagara nimeipita Sana naenda kanisani. Nguzo za kupeleka umeme Mvuti zilitandazwa kutokea Chanika.
Ngoja nichague mihogo, ndizi vipi mkuu.Mahindi, maharage mbaazi mihogo
Nashauri jengaNgoja nichague mihogo, ndizi vipi mkuu.
Je nyumba za kupangisha zinalipa huko.
karibu na KANDAHARMvuti yenyewe iko wapi au uelekeo gani?