Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
- Thread starter
- #21
Ok!Karibu Mvuti.
Ukija nione pm nikukaribishe home
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok!Karibu Mvuti.
Ukija nione pm nikukaribishe home
Inalipa.Jenga banda la kuonyesha mpira
We fanya utafiti kama maeneo hayo hakuna banda la mpira watu wanaaangalia mbali weka banda mi nakwambia mi mwenyewe ndo nipo hatua za mwisho kukamilisha baada ya kuona hela niliyo nayo haitoshi ujenzi au ningeishia njiani nikachukua maamuzi hayo.Inalipa.
Thanks.Mie huwa napita Mvuti nikielekea kwangu Dondwe.
Mvuti ni kimji kilicho barabarani (Chanika - Mbagala). Kimechangamka na kinaendelea kuchangamka.
Lakini pia Mvuti ni kata. Aliye na eneo hata km 5 kutoka kwenye kimji cha Mvuti (barabarani) bado yuko Mvuti.
Hivyo ni bora zaidi ukaone eneo lako kwa macho na ndipo utaweza kutafakari vema jinsi ya kuendeleza.