Mvuto wa Ajabu: Watu, Watoto na Wanyama. Mabaya yapo pia

Upo katika hatua gani kwenye safari yako? The more you go huenda ukaja kuelewa nazungumzia nini hasa? maana upo sahihi pia. na ubaya wa haya mambo ni kua yako on plain sight na plain words ila kuelewa ndio kunabadilika.
Wewe ndo nakuona umekariri bado hauja experience kabisa...

Kuna nadharia nyingi sana, ambazo kimsingi inarudi kwenye ukweli mmoja..

Nondualtiy
 
Karibu yote hayo yananitokea kasoro hapo kwenye wanyama. Sipendi wanyama huyo paka akinisogelea tu naweza hata nikamfukuza.

Kuna ile nyingine, bidhaa haivumi kabisa mfano tshirt au begi la mgongoni halafu baada ya kununua na kuanza kutumia ghafla inakua chaguo la wengi. Hii imetokea sana wakati nipo chuo. Unakuta viatu vya design fulani ambavyo havivumi kabisa chuoni. Nikinunua na watu kuniona navyo ghafla vinakua maarufu. Hii niliishtukia nikatengeneza logo yangu nikawa naprint tshirt naziuza kwa wanafunzi wenzangu chuoni. Nilipiga sana hela chuo.

Kuna nyingine moja hiyo watu kufikiria nina hela, yaani nikiingia sehemu wananichukulia kama kijana fulani hivi ambae ameshajipata, mambo safi kumbe mimi mwenyewe apeche alolo tu.

Kuna nyingine hiyo tupo sehemu watu wanaendelea na mabishano yao. Mimi nipo kimya nipo bize tu mambo yangu labda naperuzi mtandaoni au naangalia mpira. Halafu ghafla mmoja wapo ananipoint kutaka niongee chochote kuhusu topic wanayobishana.

NB: una kipawa cha ushawishi mdogo angu. Ingia kwenye siasa au fungua kanisa upige vichwa
 

Safi.
 
Kuna hii scenario mkuu, unatoka kufanya mapenzi na mwanamke na wiki hiyo mambo yako ni yananyooka kweli yani. Lakini kuna siku utakutana na mwingine, utajuta. Nini kipo nyuma ya vitu vya namna hiyo?
Unapokua na aura/nyota safi maana yake ukifanya mapenzi mnabadilishana nguvu, kama wewe ulikua ni mchafu, uchafu wako unaenda kwa yule mwingine unabaki msafi, au unapungua ila pia na yeye ile nguvu yake yeye unakua umeibeba wewe, ukija kwenda kwa mwingine unaenda kubeba vya mwingine na kuacha vya kwako.

Hivyo unaweza kukuta ni kama mzunguko tu, Hapa hua wapo wanaokua wanajua wanachokifanya, Energy vampires, wanavuna nguvu yako kiroho kupitia tendo la ndoa, hii hua ni kazi rahisi sababu kwenye tendo unakua umeenda kwa kukubali mwenyewe. ukiona kuna mtu unafanya nae ndio mambo yako yanyooke wewe ndo huyo Energy vampire, sasa kua kitaalamu,

Kuna familia kabla ya kuoa au kuolewa lazima wakague mpaka nyota yako, watu hawataki utani kabisa au kubahatisha. Familia za kitajiri nyingi hauoi hovyo, wahindi mpaka harusi zinapangwa kulingana na energy, destiny n.k ili waendeleze PROSPERITY.

ukitembea na wanawake tofauti tofauti maana yake kila siku mnabadilishana bahati nzuri, mikosi, mabalaa, laana n.k vyote mnakua mnabebeshana.
 
Mambo ya Epizula hayo ila sawa
 
Wanakuja pm
Yule dada alikua anapenda asubuh kabla haja fungua duka apate kimoja hapo ata amka hata saa 11 kuhakikisha jambo linatokea na always mambo yana nyooka.

NB. Mimi Nina damu nzuriii huwa nikiwepo kwako / mfano dukani, ofisinii, nyumbani kwako utashangaa ni blessings kumiminika madeal yanapangana acha TU
 
Hongera sana
 
We jamaa umeanza sifa sasa daah
 
Is this true? Kwamba ukiconnect na mtu, iwe kibiashara, kikazi au kimahusiano kuna energy mnabadilishana? Kama jina negative energy na mwenzangu ana positive energy tunabadilishana? How does this work?

Kuna vitu kwangu vinabaki kuwa nadharia naona havina uhalisia!!
 
Mimi nikiwa sehemu yeyote ile watu hufanikiwa unavyo sema nikija mfano dukani kwako wateja watajaa..

Kuna watu ni gifted mfano Mimi kuwepo nyumbani mazao yananawili mifugo inazaliana kwa wingi KAZI za mzee zinanyooka

NB. Mimi nikija kwako au UKAWA na urafiki na Mimi utashangaa unaanza kufanikiwa/ Kuna watu Wana nyota na damu nzuriii utashangaa

Watu wanakupenda/ huchukiwi na watu my first job walifanikiwa sana walishangaa sana sana nikiwa sipo mambo hayaendi nikiwepo mambo yana nyooka sana FUNGA DEALS KIBAO..
 
✍️✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…