Mganga hajigangiSasa fungua duka lako ili hao wateja wa kufurika uwapate.
Mbona unapishana na utajiri wakati una nyota yako kalii
Infact hizi gifts sio external mkuu, yaani hauwezi kusema kuwa kisa una hela ndo una spiritual gifts... Na hicho kigezo ndo huwa cha mwisho kabisa..Mimi na shida moja... Mimi sehemu yeyote nikiwepo Huwa inafanikiwaga sana hii ni from kwa baba angu uwepo wangu
Kwa kaka angu niliwai kukaa wakawa anafanikiwa sana sanaa
My first job walifanikiwa sana now ni matajiri wakubwa sanaa na Mimi nilipata VYANGU piaa
Mimi Nina nyota ya ajabu sana Mimi sio binadamu wa KAWAIDA kabisa na hata haya maisha sio yangu Mimi ni tajir sanaa
NB. Kuna demu mmoja alinambia Huwa nikisex nae Huwa biashara zake za duka la wholesale biashara inatoka mpaka anashangaaga
Hii spiritual awakening ngoja nianze kuvitumia kwa manufaa sana sanaa sanaa
Wanakuja pmNB. Kuna demu mmoja alinambia Huwa nikisex nae Huwa biashara zake za duka la wholesale biashara inatoka mpaka anashangaaga
Interesting,The body and mind ni kama avatar, au suit ya kuivaa soul(ambayo ndio wewe halisi)
Sasa ile expression ya soul itakuja kupitia namna uko in touch with your body and mind.. Ndo maana nikasema mwanzoni ya kuwa ili ujue lazima kwanza uachane na body mind aviators..
Mind inaweza isiwe aligned na soul, vivyo hivyo body... Ikiwa kwenye low vibration it means soul's expression is somehow limited or reduced to lower dimensions of energy
Ndio tunarudi huko juu nlichokisema, kila mtu ana nyota, changamoto ni uchafu unaoubeba tu.Hii ipo sana tu, kuna watu wana "nyota"! Ila pia kuna watu hawana hiyo, wapo the opposite ya hicho unachosema, akija dukani siku hiyo mwenye duka hatauza tena, au akipiga simu mkimaliza kuongea utapokea simu ya tatizo...
Upo sahihi zaidi. kila kitu kipo kiroho, maumbile hayana bahati mbayaUnasema saikolojia haihusiani na mambo ya kiroho? Hakuna chochote kisichofungamana na mambo ya kiroho, unajua mambo ya kiroho ndio msingi wa kila kitu.
where can I join?I usually love to associate with people like you . ..sio kwa ajili ya selfish interest labda nini ila katika Hali ya kubadilishana maarifa na kuongeza umoja wetu wa gifted people ,nlianzisha hio maalum kwa ajili ya just to come together and connect, mfano Nina karama Fulani, Kuna wenzangu wengine Wana karama Fulani Fulani, hivyo tukikaa una sense kabisa spiritual power , na tukikaa pamoja we can do a lot of unimaginable things, conquer the world etc . Dunia ina siri nyingi sana. Karibu if u Wanna join
Kuna hii scenario mkuu, unatoka kufanya mapenzi na mwanamke na wiki hiyo mambo yako ni yananyooka kweli yani. Lakini kuna siku utakutana na mwingine, utajuta. Nini kipo nyuma ya vitu vya namna hiyo?Ndio tunarudi huko juu nlichokisema, kila mtu ana nyota, changamoto ni uchafu unaoubeba tu.
Na hilo linabadilishika kwa kila mtu, kuna watu wana aura safi inakua inawavuta wengine, na kuna watu wana aura chafu, huyo akikaa hapo dukani unaona hauuzi, na ukinotice unaweza kuwasha udi wa "sandal wood" ukiwasha kama yupo mtu mwenye aura chafu yenye giza ataondoka yeye mwenyewe hata kama hajui kua kwanini ameondoka. yaani kanatokea kasababu hakaeleweki
Uko sahihi na ndicho nilicho kuwa na maanisha...Interesting,
huyo unaohisi ni wewe ni EGO.
Body + Mind + Soul = complete human.
Hakuna kinachomvaa mwenzake,
Mtu anapozaliwa hua anakua conditioned na mind kulingana na mazingira, hvyo atapewa jina, elimu, n.k. hivyo mind inakua very rigid na kushikamana na mifumo, hapa ndio kunazaliwa kinachosemekana psychology, in reality hakuna vichaa bali kuna watu ambao wamekosa alignment kwenye MIND sababu ya kutoka kwenye mifumo pasipo kua na grounding.
unachojaribu kukisema wewe ni EGO = hicho ndio kinakudanganya kua you are a spiritual person, na hilo ndio vazi sasa, ila kiuhalisia wewe haupo, ni kama vile mimi sipo ila unatambua hii ID hapa.
Body + Mind + Soul = ONE, Monad, Mungu mmoja, or whatever you can personalize it.
Sasa ili kuunganisha vyote vitatu, changamoto wengi inakuja kwenye mind ku drop systems tulizovishwa na jamii, hapa ndio ukifanikiwa watu wanaita enlightment, gnosticism, individuation n.k
Wengi ambao wanajiita spiritual people hua ni watu walioshiba EGO na wanajiona kwamba wao wako tofauti na maumbile, ndio maana sijashangaa ww kusema unajiona kama alien n.k sababu Ego imevaa vazi la spirituality.
Bila BODY and MIND, soul inakosa expression, bila Body , soul and mind vinakosa expression, bila mind, soul and body vinakosa expression. Mwili ukifa utarudi tena kupitia mwili mwingine mpaka utakapomaliza safari, na kumaliza safari it is a successful coagulation or union of BODY MIND and SOUL, hvyo hicho unachosema kinachelewesha ni EGO, ambayo unapokaa kwenye meditation lengo ni kuiua hyo ego ikose power ili uunganike moja kwa moja na Soul (The true essence of YOU)
Niunge kwenye hilo group lenyu la watsapI usually love to associate with people like you . ..sio kwa ajili ya selfish interest labda nini ila katika Hali ya kubadilishana maarifa na kuongeza umoja wetu wa gifted people ,nlianzisha hio maalum kwa ajili ya just to come together and connect, mfano Nina karama Fulani, Kuna wenzangu wengine Wana karama Fulani Fulani, hivyo tukikaa una sense kabisa spiritual power , na tukikaa pamoja we can do a lot of unimaginable things, conquer the world etc . Dunia ina siri nyingi sana. Karibu if u Wanna join
Huu uzi sio wa kwangu ila Aura cleansers nnazo kwa gharama ya 200k.Kelele nyingi, we tupe dawa/mtaalam wako
Share nasi experience zako ili upate watu ambao mnaendana huwezi kuja kusema tu humu then mtu akufateI usually love to associate with people like you . ..sio kwa ajili ya selfish interest labda nini ila katika Hali ya kubadilishana maarifa na kuongeza umoja wetu wa gifted people ,nlianzisha hio maalum kwa ajili ya just to come together and connect, mfano Nina karama Fulani, Kuna wenzangu wengine Wana karama Fulani Fulani, hivyo tukikaa una sense kabisa spiritual power , na tukikaa pamoja we can do a lot of unimaginable things, conquer the world etc . Dunia ina siri nyingi sana. Karibu if u Wanna join
Upo katika hatua gani kwenye safari yako? The more you go huenda ukaja kuelewa nazungumzia nini hasa? maana upo sahihi pia. na ubaya wa haya mambo ni kua yako on plain sight na plain words ila kuelewa ndio kunabadilika.Uko sahihi na ndicho nilicho kuwa na maanisha...
Ila unacho kiita ego sio kitu kibaya.. Infact ndo inakufanya uwe na individuation...
The false ego, ndo ambayo tunauwa baada ya meditation... Which is simply qieting the mind and making the body still
Sehem ambayo hatujaeleqana ni pale niliposema kuwa soul, body and mind ni separate entities..
Ila kinacho toa nishati halisi ni soul.. (hili hauwezi kubisa) na soul ndio wewe..
You are not the mind, or body... Ukija kwenye 3D sawa lazima uwe navyo vyote ili u survive
Hii inaendelea kudhihirisha kwamba unahitaji matibabu ya madaktari bingwa wa mirembe referral hospital.Wewe ni mjinga na ni hasara kwa taifa