Mvuto wa Ajabu: Watu, Watoto na Wanyama. Mabaya yapo pia

Mvuto wa Ajabu: Watu, Watoto na Wanyama. Mabaya yapo pia

Mkuu
Sitanii, alafu watu sijui huwa kwanini hamuamini? Energy thing is real.. Kama watoto au wanyama, they're so prone to it..

Energy never lies mkuu. It's either people will like you or hate on you.
Usishangae kwanini hawaamini, hatuwezi wote tukaamini kila kitu ila tatizo ni kuita uongo kitu ambacho hukiamini au hukielewi.
 
Sio muda wote lakini pia huwa inanitokea sana hii.
Pia kingine una kwenda sehemu unakuta mtu fulani watu wanamtetemekea sana ila wewe unamuona wa kawaida bila kumuonesha utofauti wowote ila unagundua kuwa secretly ana jealous na wewe wakati ukiangalia ana cheo au possesion kukuzidi kwa kila kitu.

Nilichogundua ukiwa na pure soul plus strong positive emotions aiseee kuna power unatembea nayo. Majivuno, kiburi na uoga vinaua hiyo power.
Nilisha wahi kufanya filed Sehem na yule msimamizi wangu, alikuwa mdada... She used to stutter(alikuwa anapatwa kigugumizi kabisa mbele yangu) ila baadae tulizoeana akawa okay..

Lakini pia kuna sehemu watu anakuchukia bila sababu, yaani wewe unakaa kujiuliza what wrong have I done to this individual?
 
Tunza hizo vibrations zako usije ukatawanyika kama popcorn...😃😃
I mean kama kweli una kitu naturally yani power fulani acha kuropoka ropoka zinaondoka tuseme mpaka sasa ulipoandika hapa ndo kwihshney hutaziona tena hizo unazoziita energy...
Ndo wachawi walikudanganya hivyo?
 
Sija kuelewa kabisa. You can't stop energy you can only channel it
Umelima bustani yako inayohitaji kumwagiliwa maji, ukatengeneza mifereji mingi kuelekea bustanini from source, baada ya muda ukagundua mfereji mmoja unakwenda korongoni kusiko hitaji yale maji, utayaacha yaendelee kwenda kule au utayazuia na kuyapa mwelekeo mwingine?
 
Kubadilisha mwelekeo hiyo ni channeling, na sio protecting kama ulivyosema mwanzo
 
Sio swala la kua spiritual hilo.

Hiyo ni aura kibongo bongo wanaita Nyota, sasa mtu anapokua na aura safi kinachotokea ndio hicho kinachokutokea, watu wengi wana aura chafu ambazo wamebeba uchafu kutoka kwenye Ma pombe "dark spirits", uzinzi, hate, uchawi wa kurushiwa huu mdogo mdogo, vijicho n.k, aura ikichafuka mtu anapoteza huo mvuto ila kila mtu anao so sio kwamba uko special au spiritual.

Sio kutangaza biashara ila hua tuna aura cleansers, ambazo zinasaidia watu katika maisha ya kila siku kusafisha aura/nyota.

Hongera kwa safari yako, hvyo vizuri unavyovivuta kumbuka na vibaya pia vinavutwa, kama ni mtu wa mademu nakushauri acha,

Dhuhuri njema.
Ndo maana sipendi pombe,
Wanawake nao I'm very picky huwa na sense kabisa yaani najua hapa huyu ana negative energy...

Pia vyakula na vinywaji visivvyo natural huwa nakinai haraka sana
 
Hali ya kiuchumi inaingiliaje hapo mkuu?

Binafsi, I'm so sensitive to people's energy
Yaani I can tell wewe ni mtu wa namna gani before you open your mouth

Lakini pia huwa naweza kujua atmosphere ya room nilisha ingia tu.

Lakini pia nimekubmwa na glare ya watu mara kwa mara.. Watu wanakuaga lia kama vile wewe unatoka sayari nyinngine
Namaanisha hali ya kipato chako, na je umeajiriwa au kujiajiri na kisomo chako.
Una kipaji gani kikubwa; unasema unaweza kuweza kujua ni mtu wa namna gani hata kabla hajasema kitu. Labda tuanzie hapo; nipe description kidogo kadiri unavyoweza kuhusu mimi ni mtu wa namna gani halafu tueendelee nitakueleza cha kufanya.
 
Kwa hayo nilosema inatosha

This is not a place for that. Ndo maana twatumia fake ID
 
Sio swala la kua spiritual hilo.

Hiyo ni aura kibongo bongo wanaita Nyota, sasa mtu anapokua na aura safi kinachotokea ndio hicho kinachokutokea, watu wengi wana aura chafu ambazo wamebeba uchafu kutoka kwenye Ma pombe "dark spirits", uzinzi, hate, uchawi wa kurushiwa huu mdogo mdogo, vijicho n.k, aura ikichafuka mtu anapoteza huo mvuto ila kila mtu anao so sio kwamba uko special au spiritual.

Sio kutangaza biashara ila hua tuna aura cleansers, ambazo zinasaidia watu katika maisha ya kila siku kusafisha aura/nyota.

Hongera kwa safari yako, hvyo vizuri unavyovivuta kumbuka na vibaya pia vinavutwa, kama ni mtu wa mademu nakushauri acha,

Dhuhuri njema.
Kwa wenzetu Aura ni energy huwa inamzunguka binaadamu ikiwa na rangi mbalimbali zenye maana zake, naona kama ni tofauti na suala la nyota.
 
Kwa wenzetu Aura ni energy huwa inamzunguka binaadamu ikiwa na rangi mbalimbali zenye maana zake, naona kama ni tofauti na suala la nyota.
Mimi naona aura is just a man made concept... Aura haipo ila vibrations ni kweli Zina exist... Kuna watu yeye akishika mtoto, anaanza kulia, mwingine akimwangalia tu anaanza kulia, wengine vice versa mtoto mwenyewe akishamwona tu anamkibilia
 
Tunza hizo vibrations zako usije ukatawanyika kama popcorn...😃😃
I mean kama kweli una kitu naturally yani power fulani acha kuropoka ropoka zinaondoka tuseme mpaka sasa ulipoandika hapa ndo kwihshney hutaziona tena hizo unazoziita energy...
Hapana aisee, powers haziondoki kwa style hiyo kama anazo ni anazo tu, na ni za kwake kama ana powers ziko activated zitaondoka kama akitumia vibaya au aki zi ignore completely. kutaja spiritual powers hadharani hua ni watu wanaweza kuzitumia against you.
 
Sauwaaa
 
Lakini kuna namna baadhi ya vitu ujaribu kuweka sawa kama ujuaji, majivuno na kiburi. Itazidi kukusaidia.

Kalpana una nyongeza?
Nashindwa kumuelewaa...😅😅😅
Nakazia hapo kwenys ujuaji hapoo...hataki kushindwa hiyo mbaya..
Kwenye maisha kuna muda unahitaji mizani isibalance ili maisha yaende...
Ukubali kujishusha au kushuka...
 
Back
Top Bottom