Mvuto wa Ajabu: Watu, Watoto na Wanyama. Mabaya yapo pia

Mvuto wa Ajabu: Watu, Watoto na Wanyama. Mabaya yapo pia

Utauzwa pia ugenini kama Joseph of the bible hizo nyakati zipo
Utaingia into wilderness just like Moses of the bible hizo nyakati zipo
Utasalitiwa na wapenzi pia kama tu Samson of the bible hizo nyakati zipo
Utaliliwa sana na wapenzi watakupapatikia sanaaa kwa sababu kuna kitu ndani yako watakiona watajaribu kujihusisha nacho kama ilivyokuwa tu kwa Suleiman of the Bible


The least goes on
Pretect your energy kwa wivu mkubwa sana now that unajitambua

By the way mi si mnafiki sipendi kukubali kimyakimya i like your energy napenda kukusoma.
 
Utauzwa pia ugenini kama Joseph of the bible hizo nyakati zipo
Utaingia into wilderness just like Moses of tye bible hizo nyakati zipo
Utasalitiwa na wapenzi pia kama tu Ssmson of the bible hizo nyakati zipo
Utaliliwa sana na wapenzi watakupapatikia sanaaa kwa sababu kuna kitu ndani yako watakiona watajaribu kujihusisha nacho kama ilivyokuwa tu kwa Suleiman of the Bible


The least goes on
Pretect your energy kwa wivu mkubwa sana now that unajitambua

By the way mi si mnafiki sipendi kukubali kimyakimya i like your energy napenda kukusoma.
I feel like energy ndo kila kitu..

What Joseph's brothers saw was his inner gifts and God's light showered upon him

Walimwona tishio na kuamua kumuuza but they were just positioning him in the right place ili aweze kuzitumia gifts zilizo o ndani yake

Is it protecting or channeling!?

Maana unavyo sema u protect ni kama kui keep on hold.

Energy can neither be created nor destroyed
 
Back
Top Bottom