Mvuto wa Ajabu: Watu, Watoto na Wanyama. Mabaya yapo pia

Mvuto wa Ajabu: Watu, Watoto na Wanyama. Mabaya yapo pia

Niambie kidogo kuhusu; imani yako na uchaji wa Mungu, pia niambie kuhusu Kazi unayofanya na kuna changamoto zozote za kiuchumi ulizonazo sasa au wakati uliopita?
Hali ya kiuchumi inaingiliaje hapo mkuu?

Binafsi, I'm so sensitive to people's energy
Yaani I can tell wewe ni mtu wa namna gani before you open your mouth

Lakini pia huwa naweza kujua atmosphere ya room nilisha ingia tu.

Lakini pia nimekubmwa na glare ya watu mara kwa mara.. Watu wanakuaga lia kama vile wewe unatoka sayari nyinngine
 
I feel like energy ndo kila kitu..

What Joseph's brothers saw was his inner gifts and God's light showered upon him

Walimwona tishio na kuamua kumuuza but they were just positioning him in the right place ili aweze kuzitumia gifts zilizo o ndani yake

Is it protecting or channeling!?

Maana unavyo sema u protect ni kama kui keep on hold.

Energy can neither be created nor destroyed
Are there times you feel your energy is just leaking, not flowing? Now right there its where you stop channelling into that stream, thats protecting it.
 
Just recently... Jana tu tena nimeweza ku observe hiki kitu mara mbili, na kikazidi kumake sense kwangu..

The more spiritual you are people become So drawn to your presence...

Actually, ni hivi... Jana nilikuwa zangu nakula misele baada ya kutoka zangu harakati, mimi huwa sio mtu wa kuroam around the streets. Ila hiki kitu huwa kinanitokea sana.

When you walk people be staring at you. Yaani mpka nashangaa am I an alien or something! Kusema kuwa nimeulamba hakuna. People be giving me strange looks mpaka unashangaa vipi jamani. Alaf ukiwaangalia labda najuana nao hakuna... Alafu wanavunga kama walikuwa hawakucheki. Hii sitanii wakuu

Also, kuna hili jambo ukienda labda shop unakuta yule jamaa hana wanunuzi, then baada ya wewe kufika tu, watu wanafurik a mpka mwenye biashara a nashangaa vipi leo, mfano: kuna mshakaji alipita zake na ma apple nikamsimamisha nimuunge, within seconds, watu hawapa.. Baada ya manunuzi jamaa akaniambia vipi "unajuana na hawa watu?".. Nikamwambia hata mm nashangaa!

Also, ile hate na jealousy pia inakuja sana, it's like people will hate on you na qasijue why.. Yaani unakuta mtu mmepiga stori vizuri tu leo then kesho ana act strange kama haujui kabisa. Sasa unakaa kujiuliza where did I mess up?

Growing up nilijua kuwa labda I'm making that up... Ila with time inazidi kumake sense... Ukiwa more spiritual (not religious) unakuwa na higher vibrations. Watu na viumbe vina notice haraka sana

Also kuna hili la watoto.... Imenitokea sana, uko zako unatembea. Unakutana na mtu ana mtoto, then yule mtoto anakukimbilia, hii ndo mara kibao sana. And y'all know kids never lie, hawana ego kusema wajikataze.

Wanyama, hasa paka. Aisee hapo ndo ushahidi wa fasta. Mimi kila nikienda kuna paka, yule mnyama atatafuta any means aje ajigusishe kwangu, mbwa nao pia ila sio kwa mwingi.

Na general, naweza tu kwenda sehem nikakuta mtu hana siku nzuri ila uwepo wangu tu ile Sehem ukamfanya yule mtu siku hiyo aione nzuri kwake....

Na kingine hate pia, unafika Sehem watu wanapiga stori labda then all of a sudden wote wanakaa kimya alafu kama wanaanza kujistukia hivi. Yaani kama mwalimu kaingia darasa lililo kuwa linapiga kelele.

Am in no beef with no body, but people be looking at me so weird. Na ile watu kuanza kukusema sema na hat za unashangaa amenijuaje huyu? Yaani mtu ambaye hajawahi kuongea naye(labda shuleni au kazini) unashangaa amjeuje wewe ni nani na unapenda nini au taarifa kukuhusu like wth guys..

It's strange ila imenitokea sana na huwa inashangaza but being friendly tena inaonekana intimidating kwa watu aisee leo nacheka the kesho mtu kama hamjuani vile.. .. Am not flexing au kuongea kutafuta attention.

Je kuna mtu, anajua undani wa hii issue?
Sio muda wote lakini pia huwa inanitokea sana hii.
Pia kingine una kwenda sehemu unakuta mtu fulani watu wanamtetemekea sana ila wewe unamuona wa kawaida bila kumuonesha utofauti wowote ila unagundua kuwa secretly ana jealous na wewe wakati ukiangalia ana cheo au possesion kukuzidi kwa kila kitu.

Nilichogundua ukiwa na pure soul plus strong positive emotions aiseee kuna power unatembea nayo. Majivuno, kiburi na uoga vinaua hiyo power.
 
Sio swala la kua spiritual hilo.

Hiyo ni aura kibongo bongo wanaita Nyota, sasa mtu anapokua na aura safi kinachotokea ndio hicho kinachokutokea, watu wengi wana aura chafu ambazo wamebeba uchafu kutoka kwenye Ma pombe "dark spirits", uzinzi, hate, uchawi wa kurushiwa huu mdogo mdogo, vijicho n.k, aura ikichafuka mtu anapoteza huo mvuto ila kila mtu anao so sio kwamba uko special au spiritual.

Sio kutangaza biashara ila hua tuna aura cleansers, ambazo zinasaidia watu katika maisha ya kila siku kusafisha aura/nyota.

Hongera kwa safari yako, hvyo vizuri unavyovivuta kumbuka na vibaya pia vinavutwa, kama ni mtu wa mademu nakushauri acha,

Dhuhuri njema.
 
Back
Top Bottom