Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,187
Kama ukitongoza mwanamke kwa kumdanganya akakupenda lakini wewe ukamtongoza mwanamke na kumwanikia ukweli wako akakushit, nani mwenye akili?kama ulisoma utakuwa ulifaulu kwa kuiba mitihani yako. habari ni nn hapo?
Kwa Cecil Mwambe ninayemfahamu mimi, then, utasubiri sana.Soon tutasikia Mwambe naye akijiunga na Safina ya Awamu ya Tano. Wahi mzee, naona tarehe zimeisha kwani mwisho wa Mpinzani Mbunge ama Diwani kujiunga CCM ni kesho.
Mbunge yeyote yule awe wa Chama Tawala au Upinzani anatakiwa kuwa na sifa mbili - kuisifu Serikali pale inapofanya vizuri; na kuikosoa pale inapofanya vibaya. Kitendo cha Mbunge kuonekana na Ilani ya Chama tofuati na chake sio kosa, huenda anataka kuitumia katika kuipongeza Serikali au kuikosoa. Ili kumuunga mkono Mhe. Rais, washaurini Wabunge wote bila kujali itikadi wafanye kazi za Kibunge badala ya kazi za Uenezi wa vyama vyao; wasiunge mkono kila kitu na wasipinge kila kitu - mazuri wayaunge mkono na mabaya wayapinge. Kama wakiunga mkono mazuri, hata siku wakipinga mabaya kila mtu atawaona wa maana.View attachment 933182
Mbunge wa Ndanda kwa tiketi ya CHADEMA, Cecil Mwambe akiwa bungeni ameshikilia Kitabu cha Ilani ya CCM. Hii ni dalili njema kuwa, aliyoyafanya Rais Magufuli hasa ununuzi wa korosho, ni kibali kikubwa sana cha wananchi wa Jimbo la Ndanda mkoani Mtwara kwa Magufuli.
In fact, that's is an endorsement to the Omuzilankende!!
Ni fire...π₯π₯π₯.
Ana kichwa kama treni ya kwenda kigoma. Sura ngumu na imekomaa unaweza hata ukanolea makali KISU au SIME.[emoji57] [emoji18]We Musiba na likichwa wewe...!
OhooooooπππππAna kichwa kama treni ya kwenda kigoma. Sura ngumu na imekomaa unaweza hata ukanolea makali KISU au SIME.[emoji57] [emoji18]