Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Kesho ndo deadline ya kuunga mkono juhudi za mungu wa Tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale waliotaka kupigwa shangazi zao
Mbunge wa Ndanda kwa tiketi ya CHADEMA, Cecil Mwambe akiwa bungeni ameshikilia Kitabu cha Ilani ya CCM. Hii ni dalili njema kuwa, aliyoyafanya Rais Magufuli hasa ununuzi wa korosho, ni kibali kikubwa sana cha wananchi wa Jimbo la Ndanda mkoani Mtwara kwa Magufuli.
In fact, that's is an endorsement to the Omuzilankende!!
Ni fire...🔥🔥🔥.
Hata wakristo wanatembea na Qur-an, tatizo nini tuweke waziSoon tutasikia Mwambe naye akijiunga na Safina ya Awamu ya Tano. Wahi mzee, naona tarehe zimeisha kwani mwisho wa Mpinzani Mbunge ama Diwani kujiunga CCM ni kesho.
HahahahaMbunge huyo alishika ilani hiyo kwenda kumkamata wizi waziri na JPM kwa kutoa ahadi ya uongo!Nimesikiliza wakati wa kipindi cha maswali na majibu,Mwambe katika maswali yake ya nyongeza alitumia Ilani kama reference juu ya ahadi za JPM wakati anaomba kura jimboni kwake,akakumbusha aliahidi barabara ya kiwango cha lami!
Sasa walaghai mshaanza kutwist habari kwa manufaa yenu kisiasa!