Mvuto wa Magufuli kwa Upinzani: Mbunge wa Ndanda (CHADEMA), Cecil Mwambe anadi Ilani ya CCM bungeni

Mbuge wa Ndanda (Chadema)Cecil Mwambe akiwa na Ilani ya CCM wakati alipohudhuria kikao cha saba cha mkutano wa 13 wa Bunge jijini Dodoma.
 
Wale waliotaka kupigwa shangazi zao
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu dhidi yenu
 
Hahahaha
Fyeeekelea mbali walahi
Hauna kitu walahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…