Mvuto wa Mwanamke una Unabebwa na Nguzo Zipi Muhimu?

Mvuto wa Mwanamke una Unabebwa na Nguzo Zipi Muhimu?

Kichwamoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
3,403
Reaction score
4,692
Katika hisia za mapenzi na mvuto wa mahaba wanawake wana vitu vyao ambavyo ni nguzo kwa mvuto wao.

1.1 Sura (nzuri au mbovu)
2. Rangi. (Mtume au jehanamu)
3. Harufu (kunukia au kunukia)
4. Kifua (Dodo au Lahaula la kwata)
5. Nywele ( Malaika au Kibwengo)
6. Original look au artificial saana?
7. Kucha (Malaika au shetani)
8. Mwendo (Baby au Mcharuko)
9. Mdomo (Kijiko au Koleo)
1.2 Mavazi ( Mcharuko, local, moderate, super)
10. Lafudhi ( too local au reformed)
11. Tumbo ( Tumbotumbo au Flat)
12. Vidole viganjani, size ya mguu na vidole vyake.

Mtaongezea mengine

Kichwamoto
 
Wakati mwingine uzuri wa mwanamke unategemea na upwiru.Mwanamme anayepewa to his satisfaction - kidogo hashtuki sana na haendi extra mile hata huko njiani akikutana na mwanamke mwenye muonekano mzuri kwa standard za machoni.
Sisemi kwamba hataona yaani ataona lkn ataendelea na issues zake tu bila kumuwazia.
Lkn ukikuta mwanaume ana hashiki za miezi 6 - kila mwanamke anayemuona anaona mzuri - akiona paja tu la dada kavaa nguo fupi tayari anaona bonge la dada..yaani hata housegirl ndani anaweza anza kumuona pisi kali, kama kuna shemeji ghafla anaanza kumuona ni mwanamke mrembo.
Ndo maana unakuta mtu anashangaa kuona jamaa anamke standard/ pisi kali( kulingana na standard za wengi) lkn sasa anakesha kwa mwanamke wa kawaida sana - anamteka kabisa..na watu wanamnyooshea vidole.
Au mtu alimuona binti mrembooo kahangaika mwaka siku anafanikiwa ghafla anamuona wa kawaida sana na harudi tena.
Sometimes hashki/ upwiru/ genye ndo zinatusumbua wanaume.
 
Katika hisia za mapenzi na mvuto wa mahaba wanawake wana vitu vyao ambavyo ni nguzo kwa mvuto wao.

1.1 Sura (nzuri au mbovu)
2. Rangi. (Mtume au jehanamu)
3. Harufu (kunukia au kunukia)
4. Kifua (Dodo au Lahaula la kwata)
5. Nywele ( Malaika au Kibwengo)
6. Original look au artificial saana?
7. Kucha (Malaika au shetani)
8. Mwendo (Baby au Mcharuko)
9. Mdomo (Kijiko au Koleo)
1.2 Mavazi ( Mcharuko, local, moderate, super)
10. Lafudhi ( too local au reformed)
11. Tumbo ( Tumbotumbo au Flat)
12. Vidole viganjani, size ya mguu na vidole vyake.

Mtaongezea mengine

Kichwamoto
11
 
Mambo ya mapenzi yanatokea moja kwa moja unakuwa umevutiwa...Ila vigezo huwezi kupata 100% .
 
Back
Top Bottom