kuna watu wamebarikiwa, miili yao ina mvuto hata wakiwa 'neked'......ila wengi wao wanapendezeshwa na mavazi......kuna yale mavazi ya kichokozi yale, ndio yanasababisha wengi wao waonekane wazuri.
sababu ya hii ni msemo wa kiingereza usemao "the ocean looks blue from afar", au "the grass is greener on the other side"....maana yake, kitu ambacho hukipati ndio kizuri, in this case, kile kinachofichwa kinaonekana kizuri zaidi kwa sababu tunatumia imaginesheni.