Mvutol!!

Mvutol!!

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
2,469
Reaction score
284
Wapendwaz MMU...Hivi mwili wa binadamu(dume/jike)...ukiwa kama alivozaliwa... una mvuto?!haijalishi akiwa mtoto au kikongwe?!:msela:
 
hauna mvuto.
bt ukiwa na HITAJIO NA KUVUTIKA NA KIPANDE KIMOJA CHA MWILI NDO UTAVUTIKA NAPO

LAKIN KM HAUNA HITAJI NA KIUNGO CHOCHOTE BASI ahhh haina mvuto


jaman kdole icho mpz utakishusha ln?
 
kuna watu wamebarikiwa, miili yao ina mvuto hata wakiwa 'neked'......ila wengi wao wanapendezeshwa na mavazi......kuna yale mavazi ya kichokozi yale, ndio yanasababisha wengi wao waonekane wazuri.


sababu ya hii ni msemo wa kiingereza usemao "the ocean looks blue from afar", au "the grass is greener on the other side"....maana yake, kitu ambacho hukipati ndio kizuri, in this case, kile kinachofichwa kinaonekana kizuri zaidi kwa sababu tunatumia imaginesheni.
 
Back
Top Bottom