Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Nasikia serikali imempa kiongozi wa waokoaji 1m. Ingependeza, kama anataka apewe kazi zimamoto na uokoaji.
Yeye na wenzake waliopambana kwaajili ya maisha ya watanzania wenzao. Ufaransa kuna kijana muhamiaji alipambana kwenda kumuokoa mtoto aliyekuwa karibu kuanguka ghorofani, zawadi yake alipewa kazi zimamoto.
Itakuwa ni fair sana hao jamaa wakipewa ajira.