Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Bora abaki tu hukohuko aliko anakuja kukumbana na maumivu makubwaNasikia serikali imempa kiongozi wa waokoaji 1m. Ingependeza, kama anataka apewe kazi zimamoto na uokoaji.
Yeye na wenzake waliopambana kwaajili ya maisha ya watanzania wenzao. Ufaransa kuna kijana muhamiaji alipambana kwenda kumuokoa mtoto aliyekuwa karibu kuanguka ghorofani, zawadi yake alipewa kazi zimamoto.
Itakuwa ni fair sana hao jamaa wakipewa ajira.
Serikali yetu sikivu sana,Nasikia serikali imempa kiongozi wa waokoaji 1m. Ingependeza, kama anataka apewe kazi zimamoto na uokoaji.
Yeye na wenzake waliopambana kwaajili ya maisha ya watanzania wenzao. Ufaransa kuna kijana muhamiaji alipambana kwenda kumuokoa mtoto aliyekuwa karibu kuanguka ghorofani, zawadi yake alipewa kazi zimamoto.
Itakuwa ni fair sana hao jamaa wakipewa ajira.
Yanaweza kuwa kweli usemayo, ndiyo maana nikasema akitaka.Bora abaki tu hukohuko aliko anakuja kukumbana na maumivu makubwa
Huwa wanapelekwa Depo.Watakuambia hawana hio taaluma
Yaa kama wakikubali lakini. Manake unaweza kuta huko ziwani wanapata pesa mingi kulinganisha na mshahara wa zimamotoNasikia serikali imempa kiongozi wa waokoaji 1m. Ingependeza, kama anataka apewe kazi zimamoto na uokoaji.
Yeye na wenzake waliopambana kwaajili ya maisha ya watanzania wenzao. Ufaransa kuna kijana muhamiaji alipambana kwenda kumuokoa mtoto aliyekuwa karibu kuanguka ghorofani, zawadi yake alipewa kazi zimamoto.
Itakuwa ni fair sana hao jamaa wakipewa ajira.
Wabongo hawachelewi.SINA HAKIKA KAMA KAPEWA PESA TASLIMU, NA KAPEWA NA NANI?
UNAWEZA KUJA SIKIA KWENYE REPOTI YA CAG YA MWAKANI, YULE KIJANA ALIPEWA 23,800 TU.
FEDHA NYINGINE HAZIONEKANI,NA KAMATI YA KUCHUNGUZA PESA ITAUNDWA.