Mwabili Mwagodi apatikana ametupwa pwani ya Mombasa

Mwabili Mwagodi apatikana ametupwa pwani ya Mombasa

Status
Not open for further replies.

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
9,818
Reaction score
14,585



"Mwabili alitupwa kichakani huko Kinondo, Kaunti ya Kwale majira ya saa 9 alfajiri, ambako alitembea takriban kilomita 3 hadi Diani. Alipowasili Diani, aliweza kuwasiliana na familia yake ambao walitufahamisha, na tukatuma maafisa wetu mara moja." Hussein Khalid

"Alipokuwa Diani, Mwabili alijipeleka mwenyewe katika kituo cha polisi, lakini kwa mshangao wa wengi, polisi walitaka kumtia nguvuni. Maafisa wetu waliingilia kati na akachiwa."

Kwa sasa, Mwabili amekimbizwa katika Hospitali ya Pandya, Mombasa kwa uchunguzi wa haraka wa afya, kisha atasafirishwa kwa ndege kuelekea Nairobi kuungana tena na familia yake.

--

Activist Mwabili Mwagodi found dumped in Diani
Fridah Naliaka By Fridah Naliaka Published on: July 27, 2025 08:49 (EAT)

Activist Mwabili Mwagodi found dumped in Diani

ADVERTISEMENT
Tech stock video 3 5Feb25Tech stock video 3 5Feb25
Kenyan activist Mwabili Mwagodi, who was reported missing in Dar es Salaam on Wednesday, has been found.

On Sunday morning, Mwabili was found dumped in a bush in Kinondo area, near Diani, Kwale County.

Human rights defender Hussein Khalid on Sunday morning informed the public that in Diani, Mwabili contacted his family, who reached out to Vocal Africa. He had walked for about 3 kilometres.
also read

Vocal Africa CEO Khalid reports that while in Diani, Mwabili presented himself to a police station, where he was met with threats of detention. He was released on the intervention of human rights officers.

"Presently, Mwabili has been rushed to Pandya hospital, Mombasa, for a quick medical check-up after which he will be put on a flight to Nairobi to reunite with his family," says Vocal Africa CEO.

Mwabili, a vocal critic of the Kenya Kwanza government and a hotelier in Kigamboni, Dar es Salaam, was reportedly picked up by security officers on Wednesday night while on his way to the hotel.

The family claimed he had been under surveillance over his involvement in Gen Z protests in June 2024.

The family expressed fear that Mwabili was a marked man as threats allegedly started way back in October last year following his participation in the Gen Z protests.

A case in point was when he led protests at a church service attended by President William Ruto in Nyahururu, Laikipia County in 2024.

"In October 2024, my parents received visitors who identified themselves as DCI, and they warned them that he should cool off matters Gen Z protests and take care of his family, failure to which – to quote my parents – 'Mama msije mtaweka hema hapa'," Mwabili's sister Isabella Kituri recalled.

Source: Activist Mwabili Mwagodi found dumped in Diani
 
Duuuh,sio mchezo.
Yani police Kenya na wao tena wanataka wamdake badala ya kumsaidia
 
Anadai kuna ushirikiano kati ya Serikali yabTanzania na Serikali ya Kenya katika kutekwa kwake.

Nimefuatilia page yake ya mtandao wa X, hajawahi kuandika chochote kibaya kuhusu Tanzania. Ila kwa Kenya ni mkosoaji mkali wa uatwala wa Ruto
 
Kenya wanaweza Waka unleash full scale war, Kwa mambo za kijinga hivi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom