Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakili Boniface Mwabukusi amefungua kesi kupinga maamuzi ya Kamati ya Rufaa ya Chama cha Tanganyika Law Society (TLS) kumuengua kugombea Urais wa TLS.
Pia soma: Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS
Ikumbukwe Mwabukusi alifikishwa kwenye Kamati ya Maadili na kupewa onyo baada ya kushtakiwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kile kinachodaiwa ni utovu wa nidhamu.
Kulewa taaifa hii kwa undani soma: Wakili Mwabukusi Apewa Onyo na Kamati ya Mawakili ya Maadili 'Hatutakiwi Kuogopa'
Pia soma: Mawakili wa serikali waomba wawe sehemu ya wajibu maombi katika kesi ya Mwabukusi dhidi ya TLS
UPDATE
- Mahakama yaridhia Wakili Mwabukusi afungue kesi ya kupinga kuenguliwa kuwania Urais TLS