Safi kabisa09 April 2025
MWABUKUSI AFUNGUKA MAZITO ATOA MSIMAMO WA TLS ''HATUMUOGOPI MTU'' AGUSIA NO REFORM NO ELECTION
View: https://m.youtube.com/watch?v=zFB3QFtmK3wTLS ni mshauri wa umma people's power wakati mwanasheria mkuu ni mshauri wa serikali afafanua rais wa TLS mwanasheria msomi Boniface Mwabukusi
High IQ. Intelligent, the best - Presidential material09 April 2025
MWABUKUSI AFUNGUKA MAZITO ATOA MSIMAMO WA TLS ''HATUMUOGOPI MTU'' AGUSIA NO REFORM NO ELECTION
View: https://m.youtube.com/watch?v=zFB3QFtmK3wTLS ni mshauri wa umma people's power wakati mwanasheria mkuu ni mshauri wa serikali afafanua rais wa TLS mwanasheria msomi Boniface Mwabukusi...katibu wa Bunge naye anaishauri Bunge ...
Rais wa TLS amesema hayo wakati akifafanua umuhimu wa kusoma historia kwa mtazamo chanya .... hili la kusema No Reforms No Election ni uasi, wakati tunaweza kuzungumza tukarekebisha kabla ya kufikia hatua zingine zenye madhara historia inavyoeleza kwa mifano ya watu kufa Kenya ... Tanzania tunauwezo wa kuepuka hilo maana tuna nafasi...
Katiba ya 1977 ilipitishwa na watu wachache kwa muda mfupi, na hili suala la mabadiliko ya katiba kuwa muda hautoshi ni hoja mufulisi...
Lazima watawala waje mezani muda upo na nchi siyo yenu watawala ...
Kidogo uko sawa09 April 2025

mwabukusi tangu alambe asali basssi amekuwa kibogoyo ,nyoka la kibisa, kingwendu, bambo09 April 2025
MWABUKUSI AFUNGUKA MAZITO ATOA MSIMAMO WA TLS ''HATUMUOGOPI MTU'' AGUSIA NO REFORM NO ELECTION
View: https://m.youtube.com/watch?v=zFB3QFtmK3wTLS ni mshauri wa umma people's power wakati mwanasheria mkuu ni mshauri wa serikali afafanua rais wa TLS mwanasheria msomi Boniface Mwabukusi...katibu wa Bunge naye anaishauri Bunge ...
Rais wa TLS amesema hayo wakati akifafanua umuhimu wa kusoma historia kwa mtazamo chanya .... hili la kusema No Reforms No Election ni uasi, wakati tunaweza kuzungumza tukarekebisha kabla ya kufikia hatua zingine zenye madhara historia inavyoeleza kwa mifano ya watu kufa Kenya ... Tanzania tunauwezo wa kuepuka hilo maana tuna nafasi...
Katiba ya 1977 ilipitishwa na watu wachache kwa muda mfupi, na hili suala la mabadiliko ya katiba kuwa muda hautoshi ni hoja mufulisi...
Lazima watawala waje mezani muda upo na nchi siyo yenu watawala ...
Hujui kitu na huna akili ya kumwelewa Mwabukusi.mwabukusi tangu alambe asali basssi amekuwa kibogoyo ,nyoka la kibisa, kingwendu, bambo
Wenye nchi walisema wataitawala nchi kwa miaka 80 ijayo, hawatakubali jambo lolote lile mpaka miaka 80 itimie.09 April 2025
MWABUKUSI AFUNGUKA MAZITO ATOA MSIMAMO WA TLS ''HATUMUOGOPI MTU'' AGUSIA NO REFORM NO ELECTION
View: https://m.youtube.com/watch?v=zFB3QFtmK3wTLS ni mshauri wa umma people's power wakati mwanasheria mkuu ni mshauri wa serikali afafanua rais wa TLS mwanasheria msomi Boniface Mwabukusi...katibu wa Bunge naye anaishauri Bunge ...
Rais wa TLS amesema hayo wakati akifafanua umuhimu wa kusoma historia kwa mtazamo chanya .... hili la kusema No Reforms No Election ni uasi, wakati tunaweza kuzungumza tukarekebisha kabla ya kufikia hatua zingine zenye madhara historia inavyoeleza kwa mifano ya watu kufa Kenya ... Tanzania tunauwezo wa kuepuka hilo maana tuna nafasi...
Katiba ya 1977 ilipitishwa na watu wachache kwa muda mfupi, na hili suala la mabadiliko ya katiba kuwa muda hautoshi ni hoja mufulisi...
Lazima watawala waje mezani muda upo na nchi siyo yenu watawala ...
wakuu emu msiwaiteite watu high iq kiwepes hivyoHigh IQ. Intelligent, the best - Presidential material
kwani alikua anamuogopa na na kwanini?09 April 2025
MWABUKUSI AFUNGUKA MAZITO ATOA MSIMAMO WA TLS ''HATUMUOGOPI MTU'' AGUSIA NO REFORM NO ELECTION
View: https://m.youtube.com/watch?v=zFB3QFtmK3wTLS ni mshauri wa umma people's power wakati mwanasheria mkuu ni mshauri wa serikali afafanua rais wa TLS mwanasheria msomi Boniface Mwabukusi...katibu wa Bunge naye anaishauri Bunge ...
Rais wa TLS amesema hayo wakati akifafanua umuhimu wa kusoma historia kwa mtazamo chanya .... hili la kusema No Reforms No Election ni uasi, wakati tunaweza kuzungumza tukarekebisha kabla ya kufikia hatua zingine zenye madhara historia inavyoeleza kwa mifano ya watu kufa Kenya ... Tanzania tunauwezo wa kuepuka hilo maana tuna nafasi...
Katiba ya 1977 ilipitishwa na watu wachache kwa muda mfupi, na hili suala la mabadiliko ya katiba kuwa muda hautoshi ni hoja mufulisi...
Lazima watawala waje mezani muda upo na nchi siyo yenu watawala ...
Huyu walimuweka hapo ili wampunguze makali😄! Hizi beats anazotoa sasa sio za level ile ya Bongo records.mwabukusi tangu alambe asali basssi amekuwa kibogoyo ,nyoka la kibisa, kingwendu, bambo
Kanjunjumele Mwabukusi😄 kwenye moja na mbili.09 April 2025