Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,999
- 7,928
Hii ni akili kubwaViongozi watawala wa CCM, bunge lake la cha kimoja na vyombo vyake dola vinatakiwa kupata elimu kama hii ya kutoka kwa rais wa TLS na pia wadau wengine wajitokeze kutoa elimu kama baba askofu Bagonza alipotoa muhadhara huu mwaka 2023
TOKA MAKTABA :
31 March 2023
MJADALA WA WAZI UCHAMBUZI MIAKA 30 TANGU VYAMA VINGI VIANZISHWE TANZANIA 1992
View: https://m.youtube.com/watch?v=M2LZAy8j-Aw
Askofu Benson Kalikawe Bangoza wa dayosisi ya Karagwe ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT ...
Katika mada aliyotoa tarehe
31 March 2023 yaani miaka miwili iliyopita (leo 2025) kwa hadhira ikiyofika Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), iliyokuwa imeandaa mjadala wa miaka 30 ya demokrasia ya Tanzania katika Ukumbi wa Kisenga LAPF Conference Center, Jijini Dar es Salaam ....
Ujumbe mzito wenye ushahidi unaonesha kuwa Watawala wanasisitiza Amani kuliko Haki.. anafafanua askofu Bagonza,...
N.B mwaka 2025
Hivi kweli waTanzania tutegemee HAKI leo 2025 tukielekea uchaguzi wa 2025 huku tuna ushahidi usio na shaka wa Uchafuzi wa chaguzi za 2020, 2024 TAMISEMI ila tunapenda kujisaulisha kuwa kuna mabadiliko bila shindikizo la NO REFORMS NO ELECTION 2025 kufanyiwa kazi?
Jukwaa la Katiba limeshaung mkono09 April 2025
MWABUKUSI AFUNGUKA MAZITO ATOA MSIMAMO WA TLS ''HATUMUOGOPI MTU'' AGUSIA NO REFORM NO ELECTION
View: https://m.youtube.com/watch?v=zFB3QFtmK3wTLS ni mshauri wa umma people's power wakati mwanasheria mkuu ni mshauri wa serikali afafanua rais wa TLS mwanasheria msomi Boniface Mwabukusi...katibu wa Bunge naye anaishauri Bunge ...
Rais wa TLS amesema hayo wakati akifafanua umuhimu wa kusoma historia kwa mtazamo chanya .... hili la kusema No Reforms No Election ni uasi, wakati tunaweza kuzungumza tukarekebisha kabla ya kufikia hatua zingine zenye madhara historia inavyoeleza kwa mifano ya watu kufa Kenya ... Tanzania tunauwezo wa kuepuka hilo maana tuna nafasi...
Katiba ya 1977 ilipitishwa na watu wachache kwa muda mfupi, na hili suala la mabadiliko ya katiba kuwa muda hautoshi ni hoja mufulisi...
Lazima watawala waje mezani muda upo na nchi siyo yenu watawala ...
Hapepesi macho😅😅Kanjunjumele Mwabukusi😄 kwenye moja na mbili.
Hata wakikaa kimya mawe yatapiga mayoweWananchi wamezinduka 2025, waandishi wa habari na media wanajifanya hamnazo kama vile mazinzigira kuelekea 2025 ya uchaguzi mkuu yatakuwa ya amani, haki na huru
Media kama vituo vya Redio, televisheni hawafanyi mijadala ya wazi kuelezea hali halisi ilivyo ya ugandamizaji haki mchakato mzima wa uchaguzi 2025
Hahah, dah! mkuu umeua!mwabukusi tangu alambe asali basssi amekuwa kibogoyo ,nyoka la kibisa, kingwendu, bambo
Nimekuelewa wakili msomi, penye nia pana njia, tatizo Nia ndio hakuna toka CCM na tume ya Kailima!Sikiliza hoja mujarabu kutoka kwa Rais wa TLS Adv. Mwabukusi.View attachment 3303525