PostGE2025 Mwabukusi aibua hoja nzito: Maridhiano hayajengwi kwa ripoti ya siri ya Rais

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
968
Reaction score
1,978
Mwanasheria na rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Boniphace Mwabukusi, ameibua hoja nzito kuhusu mchakato wa maridhiano, akisisitiza kuwa Ripoti ya Jaji Chande haiwezi kutumika kama msingi wa maamuzi makubwa ya kitaifa kama vile kuunda Katiba mpya.

Amesema ripoti hiyo ni mali ya Rais na haijawekwa wazi kwa umma, hivyo haiwezi kuwa dira ya taifa bila wananchi kupewa nafasi ya kuijadili na kuielewa kikamilifu.

Mwabukusi amehoji pia uhalali na uwakilishi wa tume iliyounda ripoti hiyo, akidai kuwa haikuhusisha wadau wote muhimu wala kuzingatia maoni ya Watanzania kwa upana wake.

Amesema tume hiyo ilikuwa ni ya uchunguzi wa Rais binafsi (fact-finding) na mapendekezo yake yameelekezwa kwake, jambo linalotia shaka juu ya uhuru na uadilifu wake. Aidha, ameonya kuhusu kile alichokiita upotoshaji wa makusudi ndani ya muhtasari wa ripoti hiyo uliowasilishwa kwa umma, akihusisha hali hiyo na propaganda zinazoendelea kwenye vyombo vya habari.

Katika hoja zake, Mwabukusi amesisitiza umuhimu wa kuundwa kwa Tume huru ya Ukweli, Haki na Uwajibikaji itakayokubalika na kuaminika na pande zote. Ameeleza kuwa vurugu zilizotokea Oktoba 29 zilichochewa na kutowajibika kwa Tume ya Uchaguzi.
katika chapisho lake ambalo amechapisha kwenye ukurasa wake wa facebook amechapisha kuwa

Iwe mchakato wa Maridhiano,Iwe Tume Huru ya Uchunguzi iwe kuandika Katiba hakuwezi kuongozwa kwa kutumia Ripoti ya Jaji Chande kwasababu

1. Ni ripoti ya Rais na yeye ndiyo anayo juwa kilichomo, hatuwezi kupelekwa kwenye maamuzi makubwa ya kitaifa kama kondoo apelekwaye machinjioni.

2. Tume hii haikuundwa kwa ushirika na ujumuishi wa wadau wote bali ilikuwa fact finding ya Rais kwa kile alichotaka Rais na Siyo watanganyika na hata Mapendekezo wameyatoa kwake na amesema dhahiri kuwa ripoti ile ni yake asisikike mtu kuiomba.

3. Kwa muhtasari uliotoka na kusomwa na Mh.Jaji Mkuu Mstaafu Chande kuna mambo machache sana mazuri ila kuna mengi sana ya upotoshaji na yamefanyika kwa makusudi, hila na nia mbaya ya kupotosha ukweli na ndiyo maana mnaona propaganda zao kwenye vyombo vya habari.

4. Kinachohitajika ni Tume ya UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI iliyo huru,adilifu na kukubalika na kuaminika na wote..Maridhiano ni Tunda la Ukweli na Uwajibikaji na siyo tunda la hila za kisiasa.

5. Nimesema na ninarudia tena Vurugu za Oktoba 29 zilichochewa na kutowajibika kwa Tume ya Uchaguzi kwa kuanza mizengwe na kuharibu ushindani wa kweli na Ukaidi wa CCM wa kutotaka kukaa mezani licha ya kuombwa,kushauriwa na kuhimizwa na watu wenye mapenzi mema.

6. Taarifa ya Jaji Chande imemsaidia Rais kujua ukweli kwamba Mamia ya Watanganyika wali uwawa kwa silaha za moto,Mamia hawajui iliko miili ya Wapendwa wao? na kwamba kilichotokea Oktoba hakijawahi kutoka Tangu nchi ipate Uhuru.Taarifa hii haijaleta majwabu ya nini kilitokea ? Nani alihusika na alihusika vipi? nini uwe uwajibikaji na wa namna gani na siyo exhaustive iko bias.Wala haiwezi kuwa dira yakutupeleka kwenye Mchakato wa Katiba Mpya.

UKWELI ,HAKI NA UWAJIBIKAJI ndiyo pekee vitaliponya Taifa.

BAK MWABUKUSI.
 
Ni kweli, Hio ni tume ya raisi ambao ni machawa wake, kwahio tunataka tume ya wananchi ambayo ni huru na Jumuishi ya Mafaifa mbalimbali
 
Kiburi cha Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mwambegele kilichochea vurugu kwa kiwango kikubwa! Aidha msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi hawezi kukwepa lawama!
 
Mwanasheria na rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Boniphace Mwabukusi, ameibua hoja nzito kuhusu mchakato wa maridhiano, akisisitiza kuwa Ripoti ya Jaji Chande haiwezi kutumika kama msingi wa maamuzi makubwa ya kitaifa kama vile kuunda Katiba mpya. Amesema ripoti hiyo ni mali ya Rais na haijawekwa wazi kwa umma, hivyo haiwezi kuwa dira ya taifa bila wananchi kupewa nafasi ya kuijadili na kuielewa kikamilifu.

Mwabukusi amehoji pia uhalali na uwakilishi wa tume iliyounda ripoti hiyo, akidai kuwa haikuhusisha wadau wote muhimu wala kuzingatia maoni ya Watanzania kwa upana wake. Amesema tume hiyo ilikuwa ni ya uchunguzi wa Rais binafsi (fact-finding) na mapendekezo yake yameelekezwa kwake, jambo linalotia shaka juu ya uhuru na uadilifu wake. Aidha, ameonya kuhusu kile alichokiita upotoshaji wa makusudi ndani ya muhtasari wa ripoti hiyo uliowasilishwa kwa umma, akihusisha hali hiyo na propaganda zinazoendelea kwenye vyombo vya habari.

Katika hoja zake, Mwabukusi amesisitiza umuhimu wa kuundwa kwa Tume huru ya Ukweli, Haki na Uwajibikaji itakayokubalika na kuaminika na pande zote. Ameeleza kuwa vurugu zilizotokea Oktoba 29 zilichochewa na kutowajibika kwa Tume ya Uchaguzi.
katika chapisho lake ambalo amechapisha kwenye ukurasa wake wa facebook amechapisha kuwa

Iwe mchakato wa Maridhiano,Iwe Tume Huru ya Uchunguzi iwe kuandika Katiba hakuwezi kuongozwa kwa kutumia Ripoti ya Jaji Chande kwasababu
1. Ni ripoti ya Rais na yeye ndiyo anayo juwa kilichomo, hatuwezi kupelekwa kwenye maamuzi makubwa ya kitaifa kama kondoo apelekwaye machinjioni.
2.Tume hii haikuundwa kwa ushirika na ujumuishi wa wadau wote bali ilikuwa fact finding ya Rais kwa kile alichotaka Rais na Siyo watanganyika na hata Mapendekezo wameyatoa kwake na amesema dhahiri kuwa ripoti ile ni yake asisikike mtu kuiomba.
3.Kwa muhtasari uliotoka na kusomwa na Mh.Jaji Mkuu Mstaafu Chande kuna mambo machache sana mazuri ila kuna mengi sana ya upotoshaji na yamefanyika kwa makusudi, hila na nia mbaya ya kupotosha ukweli na ndiyo maana mnaona propaganda zao kwenye vyombo vya habari.
4.Kinachohitajika ni Tume ya UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI iliyo huru,adilifu na kukubalika na kuaminika na wote..Maridhiano ni Tunda la Ukweli na Uwajibikaji na siyo tunda la hila za kisiasa.
5.Nimesema na ninarudia tena Vurugu za Oktoba 29 zilichochewa na kutowajibika kwa Tume ya Uchaguzi kwa kuanza mizengwe na kuharibu ushindani wa kweli na Ukaidi wa CCM wa kutotaka kukaa mezani licha ya kuombwa,kushauriwa na kuhimizwa na watu wenye mapenzi mema.
6.Taarifa ya Jaji Chande imemsaidia Rais kujua ukweli kwamba Mamia ya Watanganyika wali uwawa kwa silaha za moto,Mamia hawajui iliko miili ya Wapendwa wao? na kwamba kilichotokea Oktoba hakijawahi kutoka Tangu nchi ipate Uhuru.Taarifa hii haijaleta majwabu ya nini kilitokea ? Nani alihusika na alihusika vipi? nini uwe uwajibikaji na wa namna gani na siyo exhaustive iko bias.Wala haiwezi kuwa dira yakutupeleka kwenye Mchakato wa Katiba Mpya.
UKWELI ,HAKI NA UWAJIBIKAJI ndiyo pekee vitaliponya Taifa.
BAK MWABUKUSI.
Hiyo ya sijui CHANDE, na Ibrahimu Juma ni tume ya ovyo ya kumsafisha Samia Suluhu Hassan ambaye hasafishiki. Uongo wa mwaka, eti wamekufa watu 518? Arusha peke yake wamekufa watu zaidi ya 1100. Hivi wanamdanganya nani hayo mapumbavu. Wanajua kabisa kuwa wanadanganya lakini wanaona ni sawa.
 
Hiyo ripoti ya tume sioni la maana ndani yake hata kama Rais ameificha.

Mambo mengi ya uongo yaliyosomwa na Jaji Chande siku ile akiikabidhi ndio yaliyomo ndani ya ripoti.

Masuala kama waandamanaji walilipwa ili waandamane, bila kutuambia walilipwa lini na wapi?au kusema kuna waandamanaji waliotoka nje ya nchi bila kuitaja hiyo nchi, ni uongo mtupu.

Hivyo basi, kwenye mazingira ya uongo kama haya, binafsi sioni sababu ya kuiweka wazi hiyo ripoti, kwasababu tumeshajua kilichomo ndani yake ni uongo wa kumfurahisha Rais.

Uongo huu hauwezi kutumika popote, kwaajili ya jambo lolote, kwa mustakabali wa Tanganyika, kama vile kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya.
 
Mwanasheria na rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Boniphace Mwabukusi, ameibua hoja nzito kuhusu mchakato wa maridhiano, akisisitiza kuwa Ripoti ya Jaji Chande haiwezi kutumika kama msingi wa maamuzi makubwa ya kitaifa kama vile kuunda Katiba mpya.

Amesema ripoti hiyo ni mali ya Rais na haijawekwa wazi kwa umma, hivyo haiwezi kuwa dira ya taifa bila wananchi kupewa nafasi ya kuijadili na kuielewa kikamilifu.

Mwabukusi amehoji pia uhalali na uwakilishi wa tume iliyounda ripoti hiyo, akidai kuwa haikuhusisha wadau wote muhimu wala kuzingatia maoni ya Watanzania kwa upana wake.

Amesema tume hiyo ilikuwa ni ya uchunguzi wa Rais binafsi (fact-finding) na mapendekezo yake yameelekezwa kwake, jambo linalotia shaka juu ya uhuru na uadilifu wake. Aidha, ameonya kuhusu kile alichokiita upotoshaji wa makusudi ndani ya muhtasari wa ripoti hiyo uliowasilishwa kwa umma, akihusisha hali hiyo na propaganda zinazoendelea kwenye vyombo vya habari.

Katika hoja zake, Mwabukusi amesisitiza umuhimu wa kuundwa kwa Tume huru ya Ukweli, Haki na Uwajibikaji itakayokubalika na kuaminika na pande zote. Ameeleza kuwa vurugu zilizotokea Oktoba 29 zilichochewa na kutowajibika kwa Tume ya Uchaguzi.
katika chapisho lake ambalo amechapisha kwenye ukurasa wake wa facebook amechapisha kuwa

Iwe mchakato wa Maridhiano,Iwe Tume Huru ya Uchunguzi iwe kuandika Katiba hakuwezi kuongozwa kwa kutumia Ripoti ya Jaji Chande kwasababu

1. Ni ripoti ya Rais na yeye ndiyo anayo juwa kilichomo, hatuwezi kupelekwa kwenye maamuzi makubwa ya kitaifa kama kondoo apelekwaye machinjioni.

2. Tume hii haikuundwa kwa ushirika na ujumuishi wa wadau wote bali ilikuwa fact finding ya Rais kwa kile alichotaka Rais na Siyo watanganyika na hata Mapendekezo wameyatoa kwake na amesema dhahiri kuwa ripoti ile ni yake asisikike mtu kuiomba.

3. Kwa muhtasari uliotoka na kusomwa na Mh.Jaji Mkuu Mstaafu Chande kuna mambo machache sana mazuri ila kuna mengi sana ya upotoshaji na yamefanyika kwa makusudi, hila na nia mbaya ya kupotosha ukweli na ndiyo maana mnaona propaganda zao kwenye vyombo vya habari.

4. Kinachohitajika ni Tume ya UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI iliyo huru,adilifu na kukubalika na kuaminika na wote..Maridhiano ni Tunda la Ukweli na Uwajibikaji na siyo tunda la hila za kisiasa.

5. Nimesema na ninarudia tena Vurugu za Oktoba 29 zilichochewa na kutowajibika kwa Tume ya Uchaguzi kwa kuanza mizengwe na kuharibu ushindani wa kweli na Ukaidi wa CCM wa kutotaka kukaa mezani licha ya kuombwa,kushauriwa na kuhimizwa na watu wenye mapenzi mema.

6. Taarifa ya Jaji Chande imemsaidia Rais kujua ukweli kwamba Mamia ya Watanganyika wali uwawa kwa silaha za moto,Mamia hawajui iliko miili ya Wapendwa wao? na kwamba kilichotokea Oktoba hakijawahi kutoka Tangu nchi ipate Uhuru.Taarifa hii haijaleta majwabu ya nini kilitokea ? Nani alihusika na alihusika vipi? nini uwe uwajibikaji na wa namna gani na siyo exhaustive iko bias.Wala haiwezi kuwa dira yakutupeleka kwenye Mchakato wa Katiba Mpya.

UKWELI ,HAKI NA UWAJIBIKAJI ndiyo pekee vitaliponya Taifa.

BAK MWABUKUSI.
Hii ni Tofauti mojawapo ya waliosoma elimu wakapevuka akili na wale wa elimu mbali mbali walioenda shule kubalehe!
 
Mimi ninatamani udhaifu wa uchunguzi wa hiyo tume ya mchongo uwe sababu tosha ya kumfanya mwendesha mashitaka wa ICC kutia timu uwanjani mara moja!
 
Back
Top Bottom