Mwabukusi asipotumia taaluma yake vyema, hekima na busara kuongoza TLS atavurunda zaidi ya ilivyokuwa kwa Tundu Lissu na Fatma Karume

Sasa si anailekeza serikali namna sahihi ya kwenda na maamuzi yake kisheria🀣 lini kumshauri mtu kufuata katiba ilikuwa kiburi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Ikumbukwe tu kuwa jamaa sio chawa kama wewe
 
Hana cha kupoteza aiseee.
Yule sio mbana pua na mlamba viatu vya watu(chawa)
Acha kufundisha watu uoga wa kindezi.
 
Unaweza ukatueleza, ni kipi alichofanya ama kusema ukaona kakosea, kupelekea wewe kuandika ulichoandika!?
 
🀣🀣🀣🀣🀣 Wakizidiwa hoja lazma wakamtupe "Katavi"
 
SHERIA ni maisha bila hekima na busara ingawa sheria nayo ina hekima na busara zake
 
Sawa the late Shkh Yahya
 
waupinzani wamewahi kushika nafasi wap gentleman, acha upotoshaji bas...

kwahivyo mwabukusi ni mpinzani? wa chama gani kwan 🀣
Si mlimshtumu kuwa yeye ni chadema🀣🀣 amewabana vizuri ee

Mkabadili na muda wa uongozi🀣🀣
 
Kuna hii kitu imeibuka sasa hivi hawa TEC, TV Tumaini na Askofu wa Jimbo Kuu Dar es Salaam Yuda Thadeus Rwaichi wanalipika BOMU listen askofu Rwaichi & the all people you send on medias using TV Tumaini TV Shows so called the Big School show to mock Tanzanians students ambao wamemaliza vyuo na hawana kazi za kufanya mnawasema na kuwasengenya bila kuwapa njia ya kufanya au kuonyesha ABC yaan hata Wewe Askofu Mkuu mwenye ma-PhD unakaa na kuwananga Vijana kwamba hawana ubunifu acheni hio kitu kwa sababu mnajitukana wenyewe nyinyi km Kanisa Katoliki na Serikali yenu ya Tanzania kwa ujumla yaan mnalitukana Kanisa katoliki mnaitukana mpaka Serikali ya Tanzania kwamba Kanisa katoliki halijui kuwafanya Vijana wawe wabunifu na Serikali ya Tanzania haijui kuwafanya Vijana wawe wabunifu?

Kuna padrii mmoja nikiwa Ibada moja ya kipaimara aliwahi kulalamika kwamba Watoto wakishapata kipaimara wanakua km ndio wamegraduate Chuo hawarudi tena kabisa kanisani mmewahi kujiuliza kwanini au mnaishia kupaka tu kwamba hawa Watoto wakimaliza kipaimara basi ndio Kanisa kwakheri yaan wamegraduate masomo ya kanisa hata kanisani hawarudi tena kuja kusali mmewahi kukaa chini na kujiuliza nyinyi mnakosea Wapi mpaka Watoto wanawakimbia na kugoma kuja tena kanisani?

Vijana wengi wanaenda seminari wengine hawaendelei na masomo ya upadrii na kua mashemasi na baadae kupitia kipindi cha uchungaji hatimae kua mapdrii hata wanaoendelea na upadrii na kua mapadrii nna mfano mdogo, Mimi nimefanya kazi kwenye parokia 1 Mkoa huu wa Dar es Salaam Jina kapuni sitoitaja hapa nimefanya kazi hapo parokiani kwenye nyumba ya mapadrii kabisa yaan nilikua naishi nao mapadrii kwa Muda mfupi nataka kuuliza swali kwa Wewe Askofu Rwaichi mapadrii kwanini wanakunywa sana pombe tena wengine wanakunywa pombe kupitiliza kiasi cha kushindwa kujitambua Askofu Rwaichi unaweza ukatujibu hilo swali? Kuna siku moja kulitokea kisa padrii alikunywa mpaka akashindwa kabisa kurudi nyumba ya mapadrii ikabidi Waumini wanaomjua paroko wampigie paroko aende akachukue padrii atatia aibu kalewa chakali kabisa yaan padrii anapiga pombe mpaka ukikutana nae usiku unajiuliza huyu ni Father kweli? Na asubuhi unamkuta madhabauni anaendesha ibada safi kabisa Ila utaambiwa huyo ndio mpakwa Mafuta wa Bwana akikunyooshea mikono mambo yako yanakunyookea

Sio mnakaa tu na kuanza kuwa mock mock Vijana na kuwasema vibaya kwamba hawana ubunifu tukija upande wa Serikali yaan mnaitukana Serikali pamoja na kujenga majengo mengi ya kuwahudumia wanafunzi Serikali imeshindwa kuwafanya Vijana wawe wabunifu yaan mnaitukana Serikali waziwazi kwamba Serikali haijui inachokifanya inawapa wanafunzi wengi elimu Ila Wengi wanabakia mtaani hawana kazi imeshindwa kuwafanya Vijana wawe wabunifu kwa hio Serikali haina maana yoyote na kibaya zaidi hamtoi suluhisho kuhusu tatizo hili

Nitawauliza nyinyi TEC na Wewe Askofu Rwaichi ni lini mmetoa au mmefikiria hata walau kutoa mikopo kwa Vijana wenye ubunifu au tu hata kuja na wazo kwamba km kuna Vijana wana ubunifu wa aina fulani Kanisa katoliki tupo tayari kuwaendeleza na kutangaza kila Parokia kila misa kila dominika sana sana mnaenda mbali mnaponda lile kanisa lililowaozesha watu wengi kwa siku moja kwa kuwalipia Mahari sasa nyinyi mnaponda nyinyi km nyinyi Kanisa katoliki mmetoa msaada gani kwa hawa Vijana ili waoe zaidi ya kuwaponda na kuwasema vibaya bila kuwapa uelekeo bila kuwapa muongozo mzuri km viongozi wa Kanisa mnavyotakiwa kufanya kwanini nyinyi eeh kwanini?

Ni lini mmefikiria kuunda kongamano la Vijana na kuwaamsha kuhusu kufanya bunifu mbalimbali na kuwaambia km una ubunifu fulani ukifanya hiki na hiki au ukipitia hatua hii na hii ubunifu wako utafika mbali ni lini?

Na yule host wa kipindi cha The Big School Show yaan nimemaamwangalia hadi nikachoka ni km ametumwa fulani hivi kwamba nenda kasome hivi nenda katukane hivi anawauliza maswali madogo ambao wangempa majibu ya kunya sijui km hata angeendelea na vipindi vinavyofuata host anatukana sana

Huko seminari Vijana wote wananyonyeshwa na WAWATA wanapelekewa Tani na Tani na Tani za Vyakula kutoka kwa Wamama Katoliki Tanzania wanaenda kuwalisha ingawa wengine wengi wakimaliza seminari hawaendelei na upadrii Wewe host unalijua hilo au umekaa kunyanyuka tu na kuanza kuwatukana kwamba sio wabunifu bila kujua unajitukana mwenyewe sababu Vijana wengine wametoka huko huko seminarini na wapo tu mtaani hawana mpango wa kua mapadrii na hawana kazi

Host umekaa kuropokaropoka tu kwenye kipindi au unafikiri Sisi hatujui yote hayo? Host umekaa kishabiki shabiki yaan unakua unapambia kwenye kitu ambacho haikijui baada ya kuendesha kipindi kiuweledi kwamba unaonyesha tatizo na unaonyesha na suluhisho host Wewe ni kunangananga tu mwanzo mpaka Mwisho wa kipindi host wa kipindi umenyoa km mtengeneza pombe wa kiwanda cha breweries fulani eeh umekaa unatukana Vijana kwenye kipindi kweli tena mbele yao? Mbele yao sababu wale Vijana unaoongea mbele yao ndio wanaofuatia baada ya hawa sasa Wewe host wa kipindi katika research zako umekuja na suluhisho gani kwa Vijana zaidi ya kuwananga na kuwasema vibaya?

Kwanini Wewe Askofu Rwaichi na TEC kwa ujumla msiishauri Serikali mbinu mbali mbali za kuinua na kuibua ubunifu wa Vijana na kuja na suluhisho lenye mashiko badala yake mnaishia kutukana Serikali kwamba Ina Vijana ambao hawana ubunifu wowote wamekaakaa tu au nyinyi kazi yenu ni kukusanya tu mapato ya kanisa hayo mengine wazazi watajua?
 
Umesema ukweli wote
 
Hakuna anayehitaji kusaidiwa na serekali. Subirini hao wanaojipendekeza ndio muwasaidie.
serikali haiko kimsaidia mtu, ila kumtengenezea mazingira mazuri na bora zaidi ya yeye mwananchi kutumia fursa hiyo kufanya yale yatakayofanikisha ndoti na matarajio yake ya maisha kirahisi zaidi, kwa mfano kujenga barabara nzuri, umeme wa uhakika, usafiri wa treni wa sgr, ulinzi na usalama wa uhakika, maji, afya, elimu n.k

huduma zote hizo sio msaada bali ni mazingira ya kukuwezesha wewe kufanya kila lililo halali kuzakusha, kujiongezea kupato, kuboresha hali za maisha na kutokomeza umasikini
 
Hauna hoja mkuu,ungekuwa na busara ama tujue huna makasiriko.
Basi ungeainisha na madhira waliopitia hao unaodai walivurunda.
Kichwa maji
Koridoni hapakariki bwashee.

Mpaka mseme,mwamba huyo hapo.
Ifike hatua mwone aibu.kawagaragaza kwenye kumnyang'anya vyeti pamoja na kumzuia asigombee

Msiempenda kaja.

Hapepesi macho,kwenye maswala ya msingi ya Nchi.

Wote uliowataja ni wahanga wa kutetea haki.
Msiopenda haki mnaweweseka.
 
Ccm janga la Taifa hili.

Ikiwezekana lolote baya liwakute mbwa wale.
 
Bado hamjasema.
 
Na huyo Mwabukusi anafanya kazi yake ya Uwakili kwa uhalali, sasa sijui nini kinakulizaliza, mpaka utake ajipendekeze kwa serekali.
 
Na huyo Mwabukusi anafanya kazi yake ya Uwakili kwa uhalali, sasa sijui nini kinakulizaliza, mpaka utake ajipendekeze kwa serekali.
labda atataka kuionyesha kiburi na jeuri yake serikali
 
Kwani majukumu ya msingi ya hiyo TLS hasa ni nini?! Tuanzie hapo ili tujue kama anayoyafanya huyo mwambukusi ni sehemu ya majukumu yake au anaingilia majukumu ya watu wengine?!
 
Hiyo ni ramli chonganishi,huna lolote wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…