Mwabukusi atoa ufafanuzi juu ya hukumu ya mahakama na hoja wanazopeleka mahakama ya rufaa kupinga hukumu

Mwabukusi atoa ufafanuzi juu ya hukumu ya mahakama na hoja wanazopeleka mahakama ya rufaa kupinga hukumu

Hili suala litaamuliwa na watanganyika kama alivyosema Lissu, hao majaji wanaosubiri kupandishwa vyeo na Samia, au wengine waongezewe muda wa kukaa ofisini wakifikisha umri wa kustaafu, sio wa kuwaamini, hawawezi kun'gata mkono unaowalisha.
 
Hili suala litaamuliwa na watanganyika kama alivyosema Lissu, hao majaji wanaosubiri kupandishwa vyeo na Samia, au wengine waongezewe muda wa kukaa ofisini wakifikisha umri wa kustaafu, sio wa kuwaamini, hawawezi kun'gata mkono unaowalisha.
Faida inayopatikana kutokana na hatua hizi wanazochukua wazalendo hawa ni kuwaongezea wananchi ufahamu na ung'amuzi wa hujuma zinazofanywa na hawa watu serikalini, wakishirikiana na mihimili mingine dhidi yao.

Ni hatua nzuri sana katika eneo hilo hata kama HAKI haitendeki.

Acha wenye kutoa haki wapewe elimu, ili watoe haki stahiki.
 
Mwambukusi yuko sahihi, soma hii kutoka India (ingawa ni different jurisdiction) tunatumia sheria za India zilizoletwa huku word by word in most cases..parimateria

We can interfere if speaker’s decision violates Parliament rules, says SC​

Hindustan Times, New Delhi |
Feb 13, 2017 07:59 PM IST

The Supreme Court told the government on Monday that it can interfere with the Lok Sabha speaker’s decision if it violated the rules or procedures of Parliament.​

The Supreme Court told the government on Monday that it can interfere with the Lok Sabha speaker’s decision if it violated the rules or procedures of Parliament.

Attorney general Mukul Rohatgi had told the Supreme Court that a speaker’s decision cannot be challenged in court.(PTI File)


“If the speaker says blue is green, then we will ask the speaker to say it’s blue. We can’t let it go as green,” a bench headed by Chief Justice JS Khehar told attorney general Mukul Rohatgi, who had told the court that a speaker’s decision cannot be challenged in court.
 
Mkataba una saini ya rais aliyewapa majaji ulaji, wataanzaje kumwangusha?

Hawa majaji wa kupigiwa simu kama alivyosema Rostam, nafikiri ni kupoteza muda tu kupeleka kesi huko.

Ni genge la wala nchi, hamna majaji humo
 
Mahakama imesema haina mamlaka ya kuliingilia Bunge

Hivyo si rahisi kwa Majaji rufani kuliingilia Bunge labda waende Mahakama ya Africa
Unajua issue ya Jurisdiction??
High Court ikikataaa na CAT nayo itasema hivo hivo bila kujiridhisha??
Kaa kwa kutulia.
 
Mahakama imeshatoa hukumu, hana jipya. Huyo ajiandae kuajiriwa katika mapingamizi ya ndoa tu.
 
Back
Top Bottom