Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Faida inayopatikana kutokana na hatua hizi wanazochukua wazalendo hawa ni kuwaongezea wananchi ufahamu na ung'amuzi wa hujuma zinazofanywa na hawa watu serikalini, wakishirikiana na mihimili mingine dhidi yao.Hili suala litaamuliwa na watanganyika kama alivyosema Lissu, hao majaji wanaosubiri kupandishwa vyeo na Samia, au wengine waongezewe muda wa kukaa ofisini wakifikisha umri wa kustaafu, sio wa kuwaamini, hawawezi kun'gata mkono unaowalisha.
Mahakama ya Mbeya labdaMahakama imesema haina mamlaka ya kuliingilia Bunge
Hivyo si rahisi kwa Majaji rufani kuliingilia Bunge labda waende Mahakama ya Africa
Unajua issue ya Jurisdiction??Mahakama imesema haina mamlaka ya kuliingilia Bunge
Hivyo si rahisi kwa Majaji rufani kuliingilia Bunge labda waende Mahakama ya Africa
Hao Majaji wa Hiyo CAT ni Wateule wa nani?Unajua issue ya Jurisdiction??
High Court ikikataaa na CAT nayo itasema hivo hivo bila kujiridhisha??
Kaa kwa kutulia.
Kumbe unajua kua mahakama imejinajisi?Hao Majaji wa Hiyo CAT ni Wateule wa nani?
Very simple!
Daah, Mbeya kwa akina Tuli.Mahakama ya Mbeya labda