MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Naunga mkono hoja. Wasipoimarishiwa ulinzi wanaweza kudhuriwa na maadui zao hasa CHADEMA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja. Wasipoimarishiwa ulinzi wanaweza kudhuriwa na maadui zao hasa CHADEMA.
Kwa sasa wanaowapinga kina Mwabukusi ni CHADEMA. Umesikia CCM ikitoa tamko lolote kuhusu kina Mwabukusi? Kimsingi Dr Slaa na wenzake wawe makini na Mbowe & his party.Ila ungesema Hivi:
"Naunga mkono hoja. Wasipoimarishiwa ulinzi wanaweza kudhuriwa na maadui zao."
Ingependeza zaidi
Kwa maana wale wengine nao wamepoteza wengi.
Wako wapi kina Ben, Mawazo, Lijenje, Azory na wengi wengine? Nani walikuwa kwenye vile viroba?
Bila kusahau:
"Nani walikuwa nyuma ya shambulizi la Lissu?"
Kwa hakika CCM ilione hili, God forbid, tunaweza jikuta tukinyoosheana vidole.
Kwa sasa wanaowapinga kina Mwabukusi ni CHADEMA. Umesikia CCM ikitoa tamko lolote kuhusu kina Mwabukusi? Kimsingi Dr Slaa na wenzake wawe makini na Mbowe & his party.
Wabwabwajaji tuHuu ni wito wa tahadhali kabla ya hatari. Beberu akiuita "security alert."
View attachment 2778304
Hali ya hewa imebadika, matumaini ya watanzania yaliyokuwa yamefifia mno, hatimaye ghafla yamefufuka.
Mungu atupe nini Ya-Rabi sisi?
Zama zile zilizokuwa zimepotea, ghafla zimerejea. Tena si kitoto, bali kwa mwelekeo ulio mwema zaidi. Tabasamu na hata morali ya washirika, ni zile zenye kumtetemesha
adui akatambua wazi kuwa kujifanya kiziwi, siyo dili tena!
"Kwamba kwa mara nyingine, zile enzi zetu za M*ndonga mtu kazi, kumdunda mtu kama ngoma zimerejea?" Enzi zile za kheri za kuukataa utwana. Enzi za kina Kinjekitile, Mkwawa, Mtikila na kina Nyerere!
Nani alisema mtanzania ni mwoga (coward)?
"Upinzani - walio waoga (cowards) si Wafuasi"
Ya nini kuandikia mate? Waoga wako hapa:
"Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu"
"Utukufu na sifa vyote vimrejee yeye aliyejuu. Mwenye kutupenda mno sisi kama waja wake. Aliyetukumbuka hatimaye na kutotoa katika lindi la kiza"
Hata hivyo si ajabu jambo jema kutopokelewa vyema na wote. Hutokea wakati yakazuka makundi na hali ikawa hata siyo.
Hala hala mti na macho:
"Dkt. Slaa, Mwabukusi, Mdude na vigogo Sauti ya Watanzania lulu ya leo ya watanzania, ulinzi uimarishwe."
Posts #2, 3, 4 zinakazia hitaji hili la dharura mno kwa watu lulu kama hawa.
Mungu uwalinde majemedali wetu Mwabukusi, DKt. Slaa na Mdude. Ukawapatie afya njema na maisha marefu. Ukawawezeshe kuiona Tanzania njema ya ndoto zetu sasa.
Mungu ibariki "Sauti ya Watanzania."
Wabwabwajaji tu
Wewe umetumwa na CHADEMA kusafisha hali ya hewa kabla ya kufanya upuuzi wenu? Hadi leo CHADEMA hamtaki kusikia kabisa tuhuma za nyie kuhusika na ulipuaji wa bomu kwenye mkutano wenu Soweto, Arusha na kifo cha Chacha Wangwe. Hata Mbowe hajawahi kujibu tuhuma za yeye kumtisha kwa kumwambia Sumaye kua sumu haionjwi alipotaka kugombea uenyekiti. Madhara yoyote yatakayowakuta kina Mdude hamtakuwa na jinsi ya kubeba mzigo wa dhambi. Kwa huu uzi wako ni dhahiri mna nia ovu ila mnatengeneza mazingira ije kuonekana ni CCM.Kina Dr. Slaa wanaweza je kuwa makini Kwa nguvu zao wenyewe? Dr. Slaa ni mzee wa miaka 70+. Mwabukusi naye si kijana ki hivyo.
Usiku ni mrefu, njiani kuna, magari, malori nk. Mangula yalimkuta kwenye mahojiano nk, nk.
Mdude ndiyo huy, kuwa angali manusura si ni kwa kudra za mola tu?
Serikali ya CCM haiwezi kujivua lawama "God forbid" likitokea ambalo sote tusingekupenda litokee
Tunajua serikali ya CCM imekuwa ikiwasumbua sana hawa watu. Kuwatupa rumande Kila Leo na hata kuwabambikizia kesi. Kwamba alimradi hata waozee jela.
Kuna na hawa ndugu tunaowaona ona ona humu wakilia lia machozi ya mamba;
Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa
Kwa hakika CCM hawawezi kujinasibu hawamo kwenye sakata hili. Kimsingi yaonekana wao ndio wenye jambo lao.
"Hawataki mapatano baina ya makundi haya."
Wao ndiyo walio wakaanga mbuyu na kuwaachia wenye meno watafune.
"Enyi ma CCM, Mungu muweza anawaona!" -- Dua la kuku siyo? Ngoja tuone.
Wewe umetumwa na CHADEMA kusafisha hali ya hewa kabla ya kufanya upuuzi wenu? Hadi leo CHADEMA hamtaki kusikia kabisa tuhuma za nyie kuhusika na ulipuaji wa bomu kwenye mkutano wenu Soweto, Arusha na kifo cha Chacha Wangwe. Hata Mbowe hajawahi kujibu tuhuma za yeye kumtisha kwa kumwambia Sumaye kua sumu haionjwi alipotaka kugombea uenyekiti. Madhara yoyote yatakayowakuta kina Mdude hamtakuwa na jinsi ya kubeba mzigo wa dhambi. Kwa huu uzi wako ni dhahiri mna nia ovu ila mnatengeneza mazingira ije kuonekana ni CCM.
CCM mnatumia nguvu kubwa sana kujaribu kuififiza CHADEMA ili kuwapa mileage hao chawa hamtaweza!Huu ni wito wa tahadhali kabla ya hatari. Beberu akiuita "security alert."
View attachment 2778304
Hali ya hewa imebadika, matumaini ya watanzania yaliyokuwa yamefifia mno, hatimaye ghafla yamefufuka.
Mungu atupe nini Ya-Rabi sisi?
Zama zile zilizokuwa zimepotea, ghafla zimerejea. Tena si kitoto, bali kwa mwelekeo ulio mwema zaidi. Tabasamu na hata morali ya washirika, ni zile zenye kumtetemesha
adui akatambua wazi kuwa kujifanya kiziwi, siyo dili tena!
"Kwamba kwa mara nyingine, zile enzi zetu za M*ndonga mtu kazi, kumdunda mtu kama ngoma zimerejea?" Enzi zile za kheri za kuukataa utwana. Enzi za kina Kinjekitile, Mkwawa, Mtikila na kina Nyerere!
Nani alisema mtanzania ni mwoga (coward)?
"Upinzani - walio waoga (cowards) si Wafuasi"
Ya nini kuandikia mate? Waoga wako hapa:
"Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu"
"Utukufu na sifa vyote vimrejee yeye aliyejuu. Mwenye kutupenda mno sisi kama waja wake. Aliyetukumbuka hatimaye na kutotoa katika lindi la kiza"
Hata hivyo si ajabu jambo jema kutopokelewa vyema na wote. Hutokea wakati yakazuka makundi na hali ikawa hata siyo.
Hala hala mti na macho:
"Dkt. Slaa, Mwabukusi, Mdude na vigogo Sauti ya Watanzania lulu ya leo ya watanzania, ulinzi uimarishwe."
Posts #2, 3, 4 zinakazia hitaji hili la dharura mno kwa watu lulu kama hawa.
Mungu uwalinde majemedali wetu Mwabukusi, DKt. Slaa na Mdude. Ukawapatie afya njema na maisha marefu. Ukawawezeshe kuiona Tanzania njema ya ndoto zetu sasa.
Mungu ibariki "Sauti ya Watanzania."
CCM mnatumia nguvu kubwa sana kujaribu kuififiza CHADEMA ili kuwapa mileage hao chawa hamtaweza!
Nchi hii wanasheria ndio wataibadilisha
Mlianza na ACT imewashinda sasa mnahamia kwa project Mwabukusi poleni sana!Hizi ni zile hoja za wasiokuwa na hoja.
Kwani hapo tuseme unajibu hoja ipi kwenye mada?
Kwamba hili kama ni hivyo, kwa nini msiwe ninyi mnaotumiwa na CCM kutoona umuhimu wa mapatano?
Hudhani kungekuwa na matapano badala ya mafarakano tungekuwa mbali ndugu, kama si kufika kabisa?
Kwanini kwenu umoja si nguvu?
Alaumiwe CCM hapo au anayeendekeza fitna badala ya kutafuta maridhiano?
Kulikoni kuwa tayari kuridhiana na CCM lakini si hawa?
Tunafikiria rationally kweli?
Mlianza na ACT imewashinda sasa mnahamia kwa project Mwabukusi poleni sana!
Narudia tena mmeishiwa mno hadi kuwekeza kwa wahuni kama kina mdude ni vichaa kina Mwabukusi!! CCM ni laana!Kwamba unaandika hivi wewe si supernatural. Wewe ni binadamu tu kama mwingine. Wewe si Jini, shweitani, Malaika, Yesu wala Mungu.
Kwamba bado hujishangai kuwa upo unapiga ramli. Zikiitwa ramli chonganishi.
"Hizo anaweza pigiwa yeyote hata wewe ndugu."
Tutoke huko siasa ni sayansi.
Nikuombe unijibu swali hili moja tu, wazi wazi:
"Hivi mnanufaika nini na mafarakano?"
Ikikupendeza tafadhali.
Narudia tena mmeishiwa mno hadi kuwekeza kwa wahuni kama kina mdude ni vichaa kina Mwabukusi!! CCM ni laana!
hivi kuna aliewahi kua na ulinzi kama hayati nchini Tanzania?Huu ni wito wa tahadhali kabla ya hatari. Beberu akiuita "security alert."
View attachment 2778304
Hali ya hewa imebadika, matumaini ya watanzania yaliyokuwa yamefifia mno, hatimaye ghafla yamefufuka.
Mungu atupe nini Ya-Rabi sisi?
Zama zile zilizokuwa zimepotea, ghafla zimerejea. Tena si kitoto, bali kwa mwelekeo ulio mwema zaidi. Tabasamu na hata morali ya washirika, ni zile zenye kumtetemesha
adui akatambua wazi kuwa kujifanya kiziwi, siyo dili tena!
"Kwamba kwa mara nyingine, zile enzi zetu za M*ndonga mtu kazi, kumdunda mtu kama ngoma zimerejea?" Enzi zile za kheri za kuukataa utwana. Enzi za kina Kinjekitile, Mkwawa, Mtikila na kina Nyerere!
Nani alisema mtanzania ni mwoga (coward)?
"Upinzani - walio waoga (cowards) si Wafuasi"
Ya nini kuandikia mate? Waoga wako hapa:
"Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu"
"Utukufu na sifa vyote vimrejee yeye aliyejuu. Mwenye kutupenda mno sisi kama waja wake. Aliyetukumbuka hatimaye na kutotoa katika lindi la kiza"
Hata hivyo si ajabu jambo jema kutopokelewa vyema na wote. Hutokea wakati yakazuka makundi na hali ikawa hata siyo.
Hala hala mti na macho:
"Dkt. Slaa, Mwabukusi, Mdude na vigogo Sauti ya Watanzania lulu ya leo ya watanzania, ulinzi uimarishwe."
Posts #2, 3, 4 zinakazia hitaji hili la dharura mno kwa watu lulu kama hawa.
Mungu uwalinde majemedali wetu Mwabukusi, DKt. Slaa na Mdude. Ukawapatie afya njema na maisha marefu. Ukawawezeshe kuiona Tanzania njema ya ndoto zetu sasa.
Mungu ibariki "Sauti ya Watanzania."
hivi kuna aliewahi kua na ulinzi kama hayati nchini Tanzania?
na ilifikia hatua ya kusemwa labda kwasasbabu hapendwi anaogopa kudhuriwa na maadui hivyo ndio maana analindwa na ulinzi mkali sana.
sasa kama mtu anapendwa na wengi ulinzi mkali ni wanini tena?
si anapendwa, hao wengi wamlinde basi?
au wengi wanawaogopa wachache?
au ni kulinda watu waovu na mipango ovu?
kwenu studio.....

Miongoni mwao si ndio walisema Rais anapeleka miswaada ya sheria ya kipumbavu kupitia waziri wa katiba wakati huo akiwa D.ndumbaro?Usichoelewa ni kuwa dhima ya usalama wa watu na Mali zao iko na serikali ya CCM.
Anaweza tokea mwendawazimu hapa (hatuyaombei) inaweza kuwa ajali au hata ugonjwa (Malaria).
Tutakuja kuanza kunyoosheana vidole hapa kana kwamba hatukuyaona.
Wangapi wamepotea au hata kufa? Kulikoni yanayoweza kuepukwa isiwe hivyo?
Faida ya kuweka issue ya usalama huko sawa inatuacha kusafisha nyumba zetu kwa amani;
"CHADEMA, wana HARAKATI waalikeni waungwana mpatanishwe"
Kulikoni kutokujikita kwenye upatanishi badala yake kwenye mafarakano au kukaanga mbuyu?
Misahafu inasema;
"Heri wapatanishi ......."
Miongoni mwao si ndio walisema Rais anapeleka miswaada ya sheria ya kipumbavu kupitia waziri wa katiba wakati huo akiwa D.ndumbaro?
nikisema ni upumbavu kuwapa ulinzi hawa vibaraka nakua fanya makosa?
(kwasababu ya neno upumbavu lazima utanitukana najua)
mumpinge kwa uongo, mumuite mpumbavu,
halafu kupitia taasisi zilizo chini yake awape ulinzi!!!! Kweli?
atashangaza ulimwengu na kwakweli atakua mwanadamu mwema kuliko wote duniani,
anawafadhili wanaomkosoa na kumpinga kwa uongo,
na kumtukana kwa kuwapa ulinzi mkali,
ili wamekosoe vizuri zaidi na wantukane zaidi, right?