Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 267
- 1,014
View attachment 3314975
Nimeshtushwa mno na shambulio la kikatili linalokosa misingi ya utu na lisiloweza kuelezeka mbele ya jamii yeyote uenye watu timamu.
Ni msingi wa Kisheria na Kikatiba kwamba:
1. Mahakama ni chombo huru kinachopaswa kufanya kazi bila mashinikizo, vitisho au uingiliaji wowote kutoka kwa vyombo vingine vya Dola. Polisi kuzuia wananchi kuhudhuria kesi ni sawa na kudhibiti mazingira ya kimahakama kinyume na Katiba (ya Jamhuri ya Muungano).
Wajibu huo unatakiwa kulindwa na Mahakama yenyewe kupitia hakimu anayeendesha kesi husika. Lazima haki ionekane ikitendeka
2. Wananchi wana haki ya kikatiba, kisheria na kidemokrasia ya kushuhudia mwenendo wa mashauri mahakamani, ili kuhakikisha uwazi na uwajibikaji.
Kuzuia haki hii bila kuwepo kwa msingi wa kisheria wala kikanuni na kutafuta njia mbadala zinazo zuia haki ya wananchi kushujudia na kuona haki ikitendeka ni kuzuia ushiriki wa umma katika mchakato wa haki.
3. Wananchi wakikusanyika kwa amani kwenda kushuhudia kesi, basi kuwakamata au kuwaumiza na muwatupa porini ni ukiukaji wa haki yao ya kikatiba ya kukusanyika na kujieleza.
Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) tumekuwa tukisisitiza na kukemea ukiukaji huu wa sheria na matumizi mabaya ya kisheria.
Tuneielekeza Kamati ya TLS kukaa na kuona namna bora ya kushughukikia jambo hili kwa uzito na njia zinazostahiki.
Tunatoa pole kwa waathiriwa wote wa vitendo hivi vya kikatili vilivyotendwa dhidi yao na pia tunawashauri.
1. Kwenda Polisi Mara moja wapatiwe PF 3 ni haki yao.
2. Wale wanaokataliwa wawekeke kumbu kumbu kumbu ya barua au ushahidi husika ikiwemo picha na Madhila waliyo pata.
Kutokana na kukithiri kwa vitendo hivi na kuonekana kuanza kuota mizizi na kuzoeleka TLS itaona namna bora ya kushirikiana na waathiriwa katika kuchukua hatua stahiki za kisheria kwa taasisi na kila muhusika kwa jina lake kuona namna kamilifu ya kushughulikia jambo hili baada ya kupata taarifa kamili kutoka kwa kamati husika.
BAK Mwabukusi
Rais TLS
Rais - TLS.
Ya kila mhusika afunguliwe kesi kwa jina lake ,jana Taifa limepita katika aibu kubwa ,wasiwasi wangu may be huwa kuna watu wanapewa tenda ya kuja kufanya haya? Hainiingii akilini police hawa ambao tunaishi nao vizuri wanaweza fanya unyama wa namna hii,View attachment 3314975
Nimeshtushwa mno na shambulio la kikatili linalokosa misingi ya utu na lisiloweza kuelezeka mbele ya jamii yeyote uenye watu timamu.
Ni msingi wa Kisheria na Kikatiba kwamba:
1. Mahakama ni chombo huru kinachopaswa kufanya kazi bila mashinikizo, vitisho au uingiliaji wowote kutoka kwa vyombo vingine vya Dola. Polisi kuzuia wananchi kuhudhuria kesi ni sawa na kudhibiti mazingira ya kimahakama kinyume na Katiba (ya Jamhuri ya Muungano).
Wajibu huo unatakiwa kulindwa na Mahakama yenyewe kupitia hakimu anayeendesha kesi husika. Lazima haki ionekane ikitendeka
2. Wananchi wana haki ya kikatiba, kisheria na kidemokrasia ya kushuhudia mwenendo wa mashauri mahakamani, ili kuhakikisha uwazi na uwajibikaji.
Kuzuia haki hii bila kuwepo kwa msingi wa kisheria wala kikanuni na kutafuta njia mbadala zinazo zuia haki ya wananchi kushujudia na kuona haki ikitendeka ni kuzuia ushiriki wa umma katika mchakato wa haki.
3. Wananchi wakikusanyika kwa amani kwenda kushuhudia kesi, basi kuwakamata au kuwaumiza na muwatupa porini ni ukiukaji wa haki yao ya kikatiba ya kukusanyika na kujieleza.
Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) tumekuwa tukisisitiza na kukemea ukiukaji huu wa sheria na matumizi mabaya ya kisheria.
Tuneielekeza Kamati ya TLS kukaa na kuona namna bora ya kushughukikia jambo hili kwa uzito na njia zinazostahiki.
Tunatoa pole kwa waathiriwa wote wa vitendo hivi vya kikatili vilivyotendwa dhidi yao na pia tunawashauri.
1. Kwenda Polisi Mara moja wapatiwe PF 3 ni haki yao.
2. Wale wanaokataliwa wawekeke kumbu kumbu kumbu ya barua au ushahidi husika ikiwemo picha na Madhila waliyo pata.
Kutokana na kukithiri kwa vitendo hivi na kuonekana kuanza kuota mizizi na kuzoeleka TLS itaona namna bora ya kushirikiana na waathiriwa katika kuchukua hatua stahiki za kisheria kwa taasisi na kila muhusika kwa jina lake kuona namna kamilifu ya kushughulikia jambo hili baada ya kupata taarifa kamili kutoka kwa kamati husika.
BAK Mwabukusi
Rais TLS
Rais - TLS.
Dawa ni jino kwa jino, police wengi wanaishi uraianiView attachment 3314975

Na hakimu alikua anachekelea tuBaada ya kusikia Mabalozi kutoka nje pamoja na wananchi wa kawaida wanahamasishwa kuhudhuria kwa wingi! Wahuni wakaona ili kuondoa soo wakawamwaga wale form failure wao barabarani! Na pia wakaja na mahakama ya mtandao, huku wakiwa hawana sababu za msingi za kufanya hivyo, na pia kuiendesha hiyo mahakama huku wakivunja kanuni za kisheria!!
Huu ni ujinga mkubwa sana.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya polisi aliyesoma (mwenye digrii) na yule aliyepata division four ya mwisho! Hawa ambao hawana shule wenyewe huwa wanaamini katika matumizi ya nguvu, amri na ubabe wa kijinga. Hawajawahi kuwa na reasoning!Ya kila mhusika afunguliwe kesi kwa jina lake ,jana Taifa limepita katika aibu kubwa ,wasiwasi wangu may be huwa kuna watu wanapewa tenda ya kuja kufanya haya? Hainiingii akilini police hawa ambao tunaishi nao vizuri wanaweza fanya unyama wa namna hii,
Nimewahi kuwa na kesi na kuwekwa mahabusu , nilikutana na police mmja wa kike mabega yamechafuka na wakiume 2 mmoja nyota moja, mwingine nyota 3 ,aisee kuanzia nisikiliza , mpaka natoka walikua msaada mkubwa kwangu kwa kesi ile tena ya kubumba .
Hawa watu siku nitawatafuta nikiwa mkoa husika ,hawakuniomba hata sh, ila kwa kusikiliza maelezo yangu tu na upande ule ,walijua kabisa sina threat yoyote , hawa jamaa Mungu awatunze.
Kwa mantiki hii hivi hawa ambao huwafanyia watz wenzao unyama ni watz au huwa wanakodiwa toka mahala?
au ni hawa wa vyeo vya chini tokana na maisha kuwa magum basi akiadiwa posho wanafanya unyama huu.
Au ni wale vijana kutoka kwenye vyuo vya mafunzo flani flani wasiojua nini next
ya maisha yao ya badae huvalishwa magwanda na kufanya unyama huu.
Aisee mkuu ,naanza kupata picha, nilisha pata kesi kama nilivyoeleza lakini huwezi aminiKuna tofauti kubwa sana kati ya polisi aliyesoma (mwenye digrii) na yule aliyepata division four ya mwisho! Hawa ambao hawana shule wenyewe huwa wanaamini katika matumizi ya nguvu, amri na ubabe wa kijinga. Hawajawahi kuwa na reasoning!
Good thinking
Nimeshtushwa mno na shambulio la kikatili linalokosa misingi ya utu na lisiloweza kuelezeka mbele ya jamii yeyote uenye watu timamu.
Ni msingi wa Kisheria na Kikatiba kwamba:
1. Mahakama ni chombo huru kinachopaswa kufanya kazi bila mashinikizo, vitisho au uingiliaji wowote kutoka kwa vyombo vingine vya Dola. Polisi kuzuia wananchi kuhudhuria kesi ni sawa na kudhibiti mazingira ya kimahakama kinyume na Katiba (ya Jamhuri ya Muungano).
Wajibu huo unatakiwa kulindwa na Mahakama yenyewe kupitia hakimu anayeendesha kesi husika. Lazima haki ionekane ikitendeka
2. Wananchi wana haki ya kikatiba, kisheria na kidemokrasia ya kushuhudia mwenendo wa mashauri mahakamani, ili kuhakikisha uwazi na uwajibikaji.
Soma Pia: Kutoka Mwananyamala Hospitali: Viongozi wa Chadema Waliovunjwa Miguu hawa hapa
Kuzuia haki hii bila kuwepo kwa msingi wa kisheria wala kikanuni na kutafuta njia mbadala zinazo zuia haki ya wananchi kushujudia na kuona haki ikitendeka ni kuzuia ushiriki wa umma katika mchakato wa haki.
3. Wananchi wakikusanyika kwa amani kwenda kushuhudia kesi, basi kuwakamata au kuwaumiza na muwatupa porini ni ukiukaji wa haki yao ya kikatiba ya kukusanyika na kujieleza.
Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) tumekuwa tukisisitiza na kukemea ukiukaji huu wa sheria na matumizi mabaya ya kisheria.
Tuneielekeza Kamati ya TLS kukaa na kuona namna bora ya kushughukikia jambo hili kwa uzito na njia zinazostahiki.
Tunatoa pole kwa waathiriwa wote wa vitendo hivi vya kikatili vilivyotendwa dhidi yao na pia tunawashauri.
1. Kwenda Polisi Mara moja wapatiwe PF 3 ni haki yao.
2. Wale wanaokataliwa wawekeke kumbu kumbu kumbu ya barua au ushahidi husika ikiwemo picha na Madhila waliyo pata.
Kutokana na kukithiri kwa vitendo hivi na kuonekana kuanza kuota mizizi na kuzoeleka TLS itaona namna bora ya kushirikiana na waathiriwa katika kuchukua hatua stahiki za kisheria kwa taasisi na kila muhusika kwa jina lake kuona namna kamilifu ya kushughulikia jambo hili baada ya kupata taarifa kamili kutoka kwa kamati husika.
BAK Mwabukusi
Rais TLS
Rais - TLS.
Chalamila ajiandae kuanza kufanya mazoezi ya kingereza japo inasemekana amewahi kuwa mkufunzi wa chuo flani sina hakika na hili ,na kama ndivyo ni matumaini yangu wanafunzi waliopita katika mikono yake watakua vilaza wa kutupa.25 Aprili 2025
Kigamboni, Dar es Salaam
Chalamila - Dar ipo salama na shwari chini ya mikono ya rais Samia
View: https://m.youtube.com/watch?v=tk-St62goRo
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akiongea leo asema hayo na kuongeza kuwa uchaguzi wa 2025 CCM itashinda kwa kishindo kutokana na kazi nzuri anayofanya rais Samia Hassan. Na tunampongeza rais Samia Hassan kwa kuwa imara na hakuna mtu anayeweza kuvunja amani .
RC Albert Chalamila katika hotuba yake ya utangulizi wakati wa halfa ya ufunguzi wa mradi wa barabara ya lami wilaya ya Kigamboni kumkaribisha rais wa serikali ya Zanzibar aliye pia mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi mheshimiwa Dr. Hussein Ali Mwinyi leo tarehe 25 Aprili 2025 katika muendelezo wa kuelekea maadhimisho kusheherekea Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ...
Safi sana
Nimeshtushwa mno na shambulio la kikatili linalokosa misingi ya utu na lisiloweza kuelezeka mbele ya jamii yeyote uenye watu timamu.
Ni msingi wa Kisheria na Kikatiba kwamba:
1. Mahakama ni chombo huru kinachopaswa kufanya kazi bila mashinikizo, vitisho au uingiliaji wowote kutoka kwa vyombo vingine vya Dola. Polisi kuzuia wananchi kuhudhuria kesi ni sawa na kudhibiti mazingira ya kimahakama kinyume na Katiba (ya Jamhuri ya Muungano).
Wajibu huo unatakiwa kulindwa na Mahakama yenyewe kupitia hakimu anayeendesha kesi husika. Lazima haki ionekane ikitendeka
2. Wananchi wana haki ya kikatiba, kisheria na kidemokrasia ya kushuhudia mwenendo wa mashauri mahakamani, ili kuhakikisha uwazi na uwajibikaji.
Soma Pia: Kutoka Mwananyamala Hospitali: Viongozi wa Chadema Waliovunjwa Miguu hawa hapa
Kuzuia haki hii bila kuwepo kwa msingi wa kisheria wala kikanuni na kutafuta njia mbadala zinazo zuia haki ya wananchi kushujudia na kuona haki ikitendeka ni kuzuia ushiriki wa umma katika mchakato wa haki.
3. Wananchi wakikusanyika kwa amani kwenda kushuhudia kesi, basi kuwakamata au kuwaumiza na muwatupa porini ni ukiukaji wa haki yao ya kikatiba ya kukusanyika na kujieleza.
Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) tumekuwa tukisisitiza na kukemea ukiukaji huu wa sheria na matumizi mabaya ya kisheria.
Tuneielekeza Kamati ya TLS kukaa na kuona namna bora ya kushughukikia jambo hili kwa uzito na njia zinazostahiki.
Tunatoa pole kwa waathiriwa wote wa vitendo hivi vya kikatili vilivyotendwa dhidi yao na pia tunawashauri.
1. Kwenda Polisi Mara moja wapatiwe PF 3 ni haki yao.
2. Wale wanaokataliwa wawekeke kumbu kumbu kumbu ya barua au ushahidi husika ikiwemo picha na Madhila waliyo pata.
Kutokana na kukithiri kwa vitendo hivi na kuonekana kuanza kuota mizizi na kuzoeleka TLS itaona namna bora ya kushirikiana na waathiriwa katika kuchukua hatua stahiki za kisheria kwa taasisi na kila muhusika kwa jina lake kuona namna kamilifu ya kushughulikia jambo hili baada ya kupata taarifa kamili kutoka kwa kamati husika.
BAK Mwabukusi
Rais TLS
Rais - TLS.
Safi sana
Nimeshtushwa mno na shambulio la kikatili linalokosa misingi ya utu na lisiloweza kuelezeka mbele ya jamii yeyote uenye watu timamu.
Ni msingi wa Kisheria na Kikatiba kwamba:
1. Mahakama ni chombo huru kinachopaswa kufanya kazi bila mashinikizo, vitisho au uingiliaji wowote kutoka kwa vyombo vingine vya Dola. Polisi kuzuia wananchi kuhudhuria kesi ni sawa na kudhibiti mazingira ya kimahakama kinyume na Katiba (ya Jamhuri ya Muungano).
Wajibu huo unatakiwa kulindwa na Mahakama yenyewe kupitia hakimu anayeendesha kesi husika. Lazima haki ionekane ikitendeka
2. Wananchi wana haki ya kikatiba, kisheria na kidemokrasia ya kushuhudia mwenendo wa mashauri mahakamani, ili kuhakikisha uwazi na uwajibikaji.
Soma Pia: Kutoka Mwananyamala Hospitali: Viongozi wa Chadema Waliovunjwa Miguu hawa hapa
Kuzuia haki hii bila kuwepo kwa msingi wa kisheria wala kikanuni na kutafuta njia mbadala zinazo zuia haki ya wananchi kushujudia na kuona haki ikitendeka ni kuzuia ushiriki wa umma katika mchakato wa haki.
3. Wananchi wakikusanyika kwa amani kwenda kushuhudia kesi, basi kuwakamata au kuwaumiza na muwatupa porini ni ukiukaji wa haki yao ya kikatiba ya kukusanyika na kujieleza.
Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) tumekuwa tukisisitiza na kukemea ukiukaji huu wa sheria na matumizi mabaya ya kisheria.
Tuneielekeza Kamati ya TLS kukaa na kuona namna bora ya kushughukikia jambo hili kwa uzito na njia zinazostahiki.
Tunatoa pole kwa waathiriwa wote wa vitendo hivi vya kikatili vilivyotendwa dhidi yao na pia tunawashauri.
1. Kwenda Polisi Mara moja wapatiwe PF 3 ni haki yao.
2. Wale wanaokataliwa wawekeke kumbu kumbu kumbu ya barua au ushahidi husika ikiwemo picha na Madhila waliyo pata.
Kutokana na kukithiri kwa vitendo hivi na kuonekana kuanza kuota mizizi na kuzoeleka TLS itaona namna bora ya kushirikiana na waathiriwa katika kuchukua hatua stahiki za kisheria kwa taasisi na kila muhusika kwa jina lake kuona namna kamilifu ya kushughulikia jambo hili baada ya kupata taarifa kamili kutoka kwa kamati husika.
BAK Mwabukusi
Rais TLS
Rais - TLS.
Mimi sijui, ila malipo ni hapa hapa duniani.Ya kila mhusika afunguliwe kesi kwa jina lake ,jana Taifa limepita katika aibu kubwa ,wasiwasi wangu may be huwa kuna watu wanapewa tenda ya kuja kufanya haya? Hainiingii akilini police hawa ambao tunaishi nao vizuri wanaweza fanya unyama wa namna hii,
Nimewahi kuwa na kesi na kuwekwa mahabusu , nilikutana na police mmja wa kike mabega yamechafuka na wakiume 2 mmoja nyota moja, mwingine nyota 3 ,aisee kuanzia nisikiliza , mpaka natoka walikua msaada mkubwa kwangu kwa kesi ile tena ya kubumba .
Hawa watu siku nitawatafuta nikiwa mkoa husika ,hawakuniomba hata sh, ila kwa kusikiliza maelezo yangu tu na upande ule ,walijua kabisa sina threat yoyote , hawa jamaa Mungu awatunze.
Kwa mantiki hii hivi hawa ambao huwafanyia watz wenzao unyama ni watz au huwa wanakodiwa toka mahala?
au ni hawa wa vyeo vya chini tokana na maisha kuwa magum basi akiadiwa posho wanafanya unyama huu.
Au ni wale vijana kutoka kwenye vyuo vya mafunzo flani flani wasiojua nini next
ya maisha yao ya badae huvalishwa magwanda na kufanya unyama huu.
Na tutaona ayo macho yake na tumbo lake kama litabaki vile ,View attachment 3315034
Chalamila hichi ndicho kinachowasubiri ICC Court.