Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Aanze aigiipi ataje na bosi zake wanaomtumaView attachment 3315034
Chalamila hichi ndicho kinachowasubiri ICC Court.
Aanze aigiipi ataje na bosi zake wanaomtumaView attachment 3315034
Chalamila hichi ndicho kinachowasubiri ICC Court.
Huna adabu , serikali haina dini inasema ,ila daily jipenyeza kwenye makanisa ,sasa lipo kanisa laitwa Rc vs kkt hawa ukipigwa umepigwa na ukijaribu rudisha unapigwa mara 100 .Anzeni kwanza kukemea makanisa kuingilia uhuru wa mahakama kwa kuiamuru mahakama imuachie mtuhumiwa bila masharti, vinginevyo polisi wataendelea kuilinda mahakama ili ifanye maamuzi kwa uhuru bila shinikizo kutoka upande wowote.
Waliwahi kumpiga nani chawa hao?Huna adabu , serikali haina dini inasema ,ila daily jipenyeza kwenye makanisa ,sasa lipo kanisa laitwa Rc vs kkt hawa ukipigwa umepigwa na ukijaribu rudisha unapigwa mara 100 .
Mtajua hamjui this time