Mwabukusi: kukosoa si chuki, kutokubaliana na mfumo sio uasi siwezi na sitokubali kuendeshwa

Mwabukusi: kukosoa si chuki, kutokubaliana na mfumo sio uasi siwezi na sitokubali kuendeshwa

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi amesema hatojiunga na chama chake cha kisiasa katika mchakato wa uchaguzi kwa sababu haamini kama mazingira ya sasa yanaruhusu uchaguzi huru na wa haki.

Ameandika kwenye ukurasa wake wa X kuwa hatakiwi kuwa mtumwa wa kila uamuzi au muenendo wa chama chake, hasa pale anapoona mwelekeo wake hauendani na dhamira yake ya kweli ya kupigania haki, demokrasia, na maslahi ya wananchi. Amesema ni haki yake kikatiba.
 
Back
Top Bottom