Mwabukusi: Msiwakandamize Gen Z, mnachokiona kama uchochezi kiuhalisia ni maswali yanayohitaji majibu

Mwabukusi: Msiwakandamize Gen Z, mnachokiona kama uchochezi kiuhalisia ni maswali yanayohitaji majibu

Kuzungumzwa hili ni kutafuta Kiki ndani ya Id fake

Mwehu kweli
tuliza mihemko nonsense gentleman hasa unapofikia ukomo wako wa mwisho wa fikra mpya na mawazo mbadala dhidi ya hoja nonsense mezani,

calm down bila kuweweseka plz
 
tuliza mihemko nonsense gentleman hasa unapofikia ukomo wako wa mwisho wa fikra mpya na mawazo mbadala dhidi ya hoja nonsense mezani,

calm down bila kuweweseka plz
To ignore
 
acha bangi na pombe kali wakili mwabukusi, plz plz


Hivi Tlaatlaah, kuna siku unatarajia utakuja kuwa na akili timamu? Au umekwishakuwa mwehu wa moja kwa moja? You have passed over the level of idiocy, no wonder you are in top stupidity.
 
Majibu ya maswali yamegeuka kuwa utekaji,ufichaji,upigaji, utesaji na hata uuaji.Hivi, wakati wanajiingiza kwenye shuguli anuai za kisiasa,walidhani ni kubwabwaja na kupigiwa makofi kama Yesu yupo juu ya mwanapunda akiingia Yerusalemu?
Hawa Gen-Z hawapishi wakubwa kwenye daladala. Hata baada ya kujitambulisha kuwa mimi ni Mwalimu; bado hawapishi. Nidhamu na maadili vinashuka kwa kasi kubwa sana
 
Kwahiyo kwa mujibu wa sheria mtu akileta usumbufu kidogo, yapaswa aangamizwe mbali na kuwekwa kizuizini.!?
Wayback hatukuwahi kusikia habari za mashoga, sasa hawa mashoga ambao wapo kila kona ni kina nani? ni GEN Z

😁😁
 
Back
Top Bottom