tuliza mihemko nonsense gentleman hasa unapofikia ukomo wako wa mwisho wa fikra mpya na mawazo mbadala dhidi ya hoja nonsense mezani,Kuzungumzwa hili ni kutafuta Kiki ndani ya Id fake
Mwehu kweli
To ignoretuliza mihemko nonsense gentleman hasa unapofikia ukomo wako wa mwisho wa fikra mpya na mawazo mbadala dhidi ya hoja nonsense mezani,
calm down bila kuweweseka plz
R.I.P in advanceTo ignore
acha bangi na pombe kali wakili mwabukusi, plz plz
Kwani mkuu miaka yote ulikuwa hujui?Kwa hiyo Mwabukusi ni BAK!!
Hawa Gen-Z hawapishi wakubwa kwenye daladala. Hata baada ya kujitambulisha kuwa mimi ni Mwalimu; bado hawapishi. Nidhamu na maadili vinashuka kwa kasi kubwa sanaMajibu ya maswali yamegeuka kuwa utekaji,ufichaji,upigaji, utesaji na hata uuaji.Hivi, wakati wanajiingiza kwenye shuguli anuai za kisiasa,walidhani ni kubwabwaja na kupigiwa makofi kama Yesu yupo juu ya mwanapunda akiingia Yerusalemu?
Wayback hatukuwahi kusikia habari za mashoga, sasa hawa mashoga ambao wapo kila kona ni kina nani? ni GEN ZKwahiyo kwa mujibu wa sheria mtu akileta usumbufu kidogo, yapaswa aangamizwe mbali na kuwekwa kizuizini.!?