Hiyo ofisi ni rungu lililokabidhiwa kwa chizi.Nani mwenye hekima amnyang'anye Kalamu Naibu msajili wa vyama vya Siasa?
Mimi siyo Muumini wa dhihaka na Matusi. Lakini hata kwa akili za kuvukia barabara tuu huwezi kunishawishi kwamba Kauli hii ni dhihaka.
Na wala siyo ya kashfa ,Tusi na haijavunja Sheria wala Maadili yeyote mbele ya watu wenye akili timamu.
Nimeshauri na ninarejea kushauri ile ofisi imeacha kazi zake za Msimgi na wamejitwika jukumu la udhibiti maoni.Nashauri tena kwa maslahi mapana ya Taifa ifutwe haraka.
View attachment 3597633
Yule bwana alisema, yeye akipendwa na mke wake tu inatosha. Tena juzi kasema watu wapumbavu hawajui katiba. Hayo si maneno ya kejeli na kashfa?Nani mwenye hekima amnyang'anye Kalamu Naibu msajili wa vyama vya Siasa?
Mimi siyo Muumini wa dhihaka na Matusi. Lakini hata kwa akili za kuvukia barabara tuu huwezi kunishawishi kwamba Kauli hii ni dhihaka.
Na wala siyo ya kashfa ,Tusi na haijavunja Sheria wala Maadili yeyote mbele ya watu wenye akili timamu.
Nimeshauri na ninarejea kushauri ile ofisi imeacha kazi zake za Msimgi na wamejitwika jukumu la udhibiti maoni.Nashauri tena kwa maslahi mapana ya Taifa ifutwe haraka.
View attachment 3597633
😁😁😁😁Na yule aliesema kikundi fulani kimefanyakazi ya kutukuka tarehe fulani siyo kejeli na kashfa hiyo. Inawezekana pia mpumbavu akawa haijui katiba.Yule bwana alisema, yeye akipendwa na mke wake tu inatosha. Tena juzi kasema watu wapumbavu hawajui katiba. Hayo si maneno ya kejeli na kashfa?
Inasikitisha sana😁😁😁😁Na yule aliesema kikundi fulani kimefanyakazi ya kutukuka tarehe fulani siyo kejeli na kashfa hiyo. Inawezekana pia mpumbavu akawa haijui katiba.
Huna akiliMwabukusi asidhani ana akili sana kuzidi watu wengine. TLS sio chama cha siasa kwahiyo ajikite kwenye mambo ya kitaaluma. Inasikitisha sana kuona CHADEMA iliyokuwa mstari wa mbele kukemea ufisadi leo hii inalilia haki ya kutukana majukwaani. Shame on you.
Huyu rais wetu wa TLS naye..., unamlaumuje Naibu Msajili na kila anachofanya naibu ni anafanya kwa niaba ya Msajili, na kila anachofanya Msajili ni Ofisi ya Msajili, kila kitu kinachafanywa na ofisi yoyote ya umma, ni wanafanya kwa niaba ya rais wa JMT, huyu rais wetu anataka kulaumu watu badala ya kudeal na issues!.Nani mwenye hekima amnyang'anye Kalamu Naibu msajili wa vyama vya Siasa?
Nani mwenye hekima amnyang'anye Kalamu Naibu msajili wa vyama vya Siasa?
Mimi siyo Muumini wa dhihaka na Matusi. Lakini hata kwa akili za kuvukia barabara tuu huwezi kunishawishi kwamba Kauli hii ni dhihaka.
Na wala siyo ya kashfa ,Tusi na haijavunja Sheria wala Maadili yeyote mbele ya watu wenye akili timamu.
Nimeshauri na ninarejea kushauri ile ofisi imeacha kazi zake za Msimgi na wamejitwika jukumu la udhibiti maoni.Nashauri tena kwa maslahi mapana ya Taifa ifutwe haraka.
View attachment 3597633
Heading: Mwabukusi: 'Nani mwenye hekima...' Mwabukusi kama Mwabukusi na sio Rais wa TLS.Huyu rais wetu wa TLS naye..., unamlaumuje Naibu Msajili na kila anachofanya naibu ni anafanya kwa niaba ya Msajili, na kila anachofanya Msajili ni Ofisi ya Msajili, kila kitu kinachafanywa na ofisi yoyote ya umma, ni wanafanya kwa niaba ya rais wa JMT, huyu rais wetu anataka kulaumu watu badala ya kudeal na issues!.
Maadam TLS ni statutory body ya ushauri kuhusu all legal matters, kama kuna issues, azipitishie TLS to task them legally na sio ku deal kiuana harakati!. Mimi nilitoa angalizo hili mapema wakati wa salaam zangu kumpongeza kuchaguliwa kuwa rais wa chama chetu
View attachment 3597651
Naona anaendeleza harakati.Wanabodi,
Hii ni makala yangu gazeti la Nipashe la leo
Hii ni makala yangu ya pongezi kwa Wakili Mwabukusi kuchaguliwa kuwa rais wa TLS, na kumpa ushauri wa bure, aibadili TLS kutoka kule juu ilipo, aishushe chini ground zero Ihudumie wananchi wa kawaida wanaohitaji huduma za kisheria, badala ya kuhudumia wanachama wake tuu.
Kwa vile yeye ni Mwanaharakati, namuomba sana, chonde chonde asituletee uana harakati wake kwenye TLS yetu , TLS sio chama cha siasa, sio chama cha ki harakati, TLS ni a Professional Body.
Hapa naomba kumtumia rais wangu wa TLS, rais wa r ndogo...
- Pascal Mayalla
- body harakati mwabukusi mwanaharakati tls ubishi zake
- Replies: 133
- Forum: Jukwaa la Siasa
P
Acha ujinga! Mtu mzima bure kabisa.Mwabukusi asidhani ana akili sana kuzidi watu wengine. TLS sio chama cha siasa kwahiyo ajikite kwenye mambo ya kitaaluma. Inasikitisha sana kuona CHADEMA iliyokuwa mstari wa mbele kukemea ufisadi leo hii inalilia haki ya kutukana majukwaani. Shame on you.
Unamwambia ajikite kweny taaluma, wewe kama nan unampangia cha kuongea? Stupid ass nigga!!Mwabukusi asidhani ana akili sana kuzidi watu wengine. TLS sio chama cha siasa kwahiyo ajikite kwenye mambo ya kitaaluma. Inasikitisha sana kuona CHADEMA iliyokuwa mstari wa mbele kukemea ufisadi leo hii inalilia haki ya kutukana majukwaani. Shame on you.
Ameongea kama Rais wa TLS ama nj maoni yake yeye kama Mwabukusi?Huyu rais wetu wa TLS naye..., unamlaumuje Naibu Msajili na kila anachofanya naibu ni anafanya kwa niaba ya Msajili, na kila anachofanya Msajili ni Ofisi ya Msajili, kila kitu kinachafanywa na ofisi yoyote ya umma, ni wanafanya kwa niaba ya rais wa JMT, huyu rais wetu anataka kulaumu watu badala ya kudeal na issues!.
Maadam TLS ni statutory body ya ushauri kuhusu all legal matters, kama kuna issues, azipitishie TLS to task them legally na sio ku deal kiuana harakati!. Mimi nilitoa angalizo hili mapema wakati wa salaam zangu kumpongeza kuchaguliwa kuwa rais wa chama chetu
View attachment 3597651
Naona anaendeleza harakati.Wanabodi,
Hii ni makala yangu gazeti la Nipashe la leo
Hii ni makala yangu ya pongezi kwa Wakili Mwabukusi kuchaguliwa kuwa rais wa TLS, na kumpa ushauri wa bure, aibadili TLS kutoka kule juu ilipo, aishushe chini ground zero Ihudumie wananchi wa kawaida wanaohitaji huduma za kisheria, badala ya kuhudumia wanachama wake tuu.
Kwa vile yeye ni Mwanaharakati, namuomba sana, chonde chonde asituletee uana harakati wake kwenye TLS yetu , TLS sio chama cha siasa, sio chama cha ki harakati, TLS ni a Professional Body.
Hapa naomba kumtumia rais wangu wa TLS, rais wa r ndogo...
- Pascal Mayalla
- body harakati mwabukusi mwanaharakati tls ubishi zake
- Replies: 133
- Forum: Jukwaa la Siasa
P
PSycholojia inaonesha kuwa mtu kama huyu unakuta ana madhanbi mengi huko serikalini hivyo anafanya ili kuziweka kwenye nafasi fulani kwa mabosi zakeYule bwana alisema, yeye akipendwa na mke wake tu inatosha. Tena juzi kasema watu wapumbavu hawajui katiba. Hayo si maneno ya kejeli na kashfa?
Mkuu Tindo, kauli yoyote ya rais wa TLS atakaoitoa kama rais wa TLS, hufuatiwa na maandishi ya TLS, ila yeye kama wakili ana uhuru wa kutoa maoni yake yoyote kama Mtanzania mwingine yeyote, kwasababu huyu ni rais wetu, na TLS ni statutory body, si vema rais wa TLS kutoa maoni yake on legal matters kwa vitu ambavyo TLS could have deliberated them, ili rais wa TLS akisema kitu cha kisheria ni TLS imesemaAmeongea kama Rais wa TLS ama nj maoni yake yeye kama Mwabukusi?
Thanks for this, ubarikiwe sana asante.Acha use@nge dingi.
Bwana Pascal Mayalla, hivi zile nafasi za uteuzi bado? Naona unaangaika sana ndugu yangu... Husiwe na wasiwasi raisi fake atakuteuaMkuu Tindo, kauli yoyote ya rais wa TLS atakaoitoa kama rais wa TLS, hufuatiwa na maandishi ya TLS, ila yeye kama wakili ana uhuru wa kutoa maoni yake yoyote kama Mtanzania mwingine yeyote, kwasababu huyu ni rais wetu, na TLS ni statutory body, si vema rais wa TLS kutoa maoni yake on legal matters kwa vitu ambavyo TLS could have deliberated them, ili rais wa TLS akisema kitu cha kisheria ni TLS imesema
Thanks for this, ubarikiwe sana asante.
P